tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Naikumbuka hii sehemu nilipita nilipokuwa uhamishoni...SGR - NairobiView attachment 800080
Dawa gani wewe...Wazee wa upper hill & Westland wako wap tumerejea kuwapaka dawa
Dawa gani wewe...

Hahaa.. hapo una ikaribia KIBERA TerminusNaikumbuka hii sehemu nilipita nilipokuwa uhamishoni...
Hahaha Kule kwahovyoJamani Nifuraha kubwa sana JF yetu kurejea
Nilijaribu kwenda ugenini kule
nilishindwa hata kujisajiri
maana Kumepoa sana
Moto uendelee
Nyumbani ni Nyumbani tuHahaha Kule kwahovyo
mwenyewe nilikuwa na mwaka sijakanyaga kule
nimeondoka kurudi mpaka yesu Arudi
hiyo ndiyo light wayNaikumbuka hii sehemu nilipita nilipokuwa uhamishoni...
kabisaNyumbani ni Nyumbani tu