Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Somalia inawashinda sasa na mnacook growth ya 7.2%.....Now I know when they say, There is a meaning in a name. Yani Presidaa ni Pombe and you all get drunk
ukahukakha magufuli kiboko ya kenya😀😀
hamulali mkimtaja 😛😛😛😛😛
tanzani go baby hehhehehe
 
I don't stoop too low my friend. We are Middle and you are the least developed. Mko na kina Niger, Somalia, Haiti na kadhalika.
uhehehe mwanaume mzima unamaneno ya kanga bana haifai mwanaume vitendo kama unajiamini jaribu alaf uone we chagua mkoa wowote tanzania alaf nitakuonesha
 
uhehehe mwanaume mzima unamaneno ya kanga bana haifai mwanaume vitendo kama unajiamini jaribu alaf uone we chagua mkoa wowote tanzania alaf nitakuonesha

Leta Link... Uone kama hamtoshani na Haiti
 
Kama Somalia inawashinda sasa na mnacook growth ya 7.2%.....Now I know when they say, There is a meaning in a name. Yani Presidaa ni Pombe and you all get drunk
😀😀😀😀
 
huyo anapost tu ndo wale wa kwenye vijiwe vya kahawa!!
utakuta wamekaa wanaanza "aaahh rwanda yaani rwanda wametuacha mbali,kigali mji wao mzuri sana"na kumbe hajawahi hata kwenda masikini dah! hajui Nairobi ni miongoni mwa miji yenye slums mbaya kuliko miji yote afrika,mji mchafu,hakuna ustaarabu,usafiri wa hovyo sijawahi ona,!!!asalale.. nilidata Kigali nilikuta slum hizoo doh! doh! doh!..
kweli kabisa yaani hakuna analolijua
 
hii ndio nanyuki ipambane na musoma😀😀
ehh Mungu nipe umri nione mengi😛😛
47C1BDAB-2610-4B71-8DE0-214F32207878.jpeg

B96EA091-6C85-44F0-B6F3-891090735EE8.jpeg

A8FD1F8C-F1BE-4CB7-A9A3-023042C64ACD.jpeg
 
Back
Top Bottom