Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukheheheh uchumi umeshikwa na investors mumekiwa bellow poverty line 45%😀😀😀😀

unemployment rate 40%
Na nyinyi 70% use below 2 dollars a day... Nowonder you are malnourished. It was very visible in those Simba players.
 
Ni aibu sana kulinganisha Jiji (Nairobi) na uchafu (Dar). Wakuu, tuache uzalendo UCHWARA. Nairobi iko vizuri sana, huwezi kamwe kuilinganisha Nairobi na jiji la kusadikika kama Dar. Nakaribisha mapovu ijapokuwa hayawezi kubadili ukweli.
 
Waambie Tpaul. Waambie
 
Naaa.... Wadanganyika walikuwa wanafanya nini hapa???Look at that infrastructure.... Isn't there road designers in this dark country????
downloadfile-1.jpeg

Compare that with this.....
nai-mbl.jpg

d23705c91af6fbfb41b91132d73cb826.jpg

C_DvydUWAAIV36w.jpg
 
Kwa wale walevi wanasemaa Kenya ni Nairobi.... Now leave Nairobi alone. We want to show you the rest of Kenya.
Nanyuki estates baby
images-28.jpeg

maiyanvillas-6-733x608.jpg

Maiyan-Villas-Nanyuki-9.jpg

images-36.jpeg

images-34.jpeg
 
Ni aibu sana kulinganisha Jiji (Nairobi) na uchafu (Dar). Wakuu, tuache uzalendo UCHWARA. Nairobi iko vizuri sana, huwezi kamwe kuilinganisha Nairobi na jiji la kusadikika kama Dar. Nakaribisha mapovu ijapokuwa hayawezi kubadili ukweli.
uliwahi fika nairobi......?
 
uliwahi fika nairobi......?
huyo anapost tu ndo wale wa kwenye vijiwe vya kahawa!!
utakuta wamekaa wanaanza "aaahh rwanda yaani rwanda wametuacha mbali,kigali mji wao mzuri sana"na kumbe hajawahi hata kwenda masikini dah! hajui Nairobi ni miongoni mwa miji yenye slums mbaya kuliko miji yote afrika,mji mchafu,hakuna ustaarabu,usafiri wa hovyo sijawahi ona,!!!asalale.. nilidata Kigali nilikuta slum hizoo doh! doh! doh!..
 
Back
Top Bottom