Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana, najua unafabya haya yote sababu ya uzalendo ila jaribu kureason kidogo pia. Hakuna estate yoyote dar inaweza linganishwa na mtaa wa Karen, Nairobi. In fact hakuna estate yoyote Dar nzima unaweza linganisha na hizi mitaa za Nairobi: Karen, Muthauga, Runda, Muthangari, Spring Valley, Lavington, Kitisuru, Gigiri, et al. the list is endless
Nmewah fanya kazi na mzungu mmoja ambae apo Nbo kwenu hufika sana ni boss anaishi O'bay one thing aliwah niambia Nbo Is fine but sio kwa O'bay bro...Kuna beach na mijumba ya viwango sasa nyie mko n nn?utasema estate achana na huo upuuzi
 
Hawa jamaa uzalendo Imewalemesha kabisa hawajabakisha akili ya kufikiria. Hata wana habari kweli rent ya nyumba Karen ni pesa ngapi? And do they know how much it costs to buy a piece of land in Karen?
Yaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
 
Ichoboy atapita hii polepole kana kwamba hajaiona...I told him about 12 lanes na anaitisha 10 lanes....Dar itasoma number ya Nairobi hadi mwisho wa safari
hio ni 10lanes??? hahahha kweli mkenya kichwani kumejaa kamasi ww unaijua 10lanes inavokaa hio 8 lanes munasema 10 lanes nimecheka sana😀😀😛😛
 
picha za thika rd zimeonyeshqa hapa a mollion times so pitia pages za nyuma uwache kuwa sumbua
thika ni 8lanes my friend usije kwenda mbele za watu ukasema 10lanes watakucheka watu 😀😀😀😀
 
hii ni 10 lanes ww akili unayo kweli hio ni 8 lanes hvi 10 lanes unaijua vzr wewe😀😀😀😀😀
Unaziona nane😀😀😀...Kaa ni nane hakuna shida, siezipingana na wewe kwa vitu obvious.
 
picha za thika rd zimeonyeshqa hapa a mollion times so pitia pages za nyuma uwache kuwa sumbua
hehhehe we kumbe bogus sana aliekwambia thika ni 10lanes nani???😀😀😀😀😀
1BFB15AA-A000-47F5-A478-ACA051B50FDB.jpeg
 
Unaziona nane😀😀😀...Kaa ni nane hakuna shida, siezipingana na wewe kwa vitu obvious.
wewe kumbe fala sana nilikuona unaakili kumbe bogus unajua how lanes zinavohesabiwa???😀😀😀
unahesabu mpaka barabara za michepuko nimecheka sana
 
Back
Top Bottom