Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Wakishindwa kucheza ball wanaleta magari
endelea kuwatoa kwenye reli....lazima wawe wanajadili tunachotaka sisi sio wanachotaka wao.go tanzania😀😀😀😀






vip kuhusu wewe imeshakusponser.....Sportpesa iko world wide sahii buda... Ina sponsor teams Kubwakubwa Kama Everton na Hull...
yaani wanapata tabu sanaufadhili gani wewe bwege kweli ww so sport pesa ndio iliwapa hzo expensive buses na kuwajengea ofisi tanzania ????hahahha nikikwambia revenue ya yanga na simba au azam kusanya upuuzi wote wakenya hamnusi hata ukucha hakuna kitu sport pesa imeongeza kwa yanga au simba hehehehhe wala usijisumbue kutumia nguvu kuongelea sport pesa tanzania
huyo jamaa ni kituko............hajui hata maana ya ufadhili..........hehehe mkenya mmoja anaongea upuuzi eti sport pesa wanafadhili yanga na simba hahaha nimecheka sana na hajui leo kua hzo ndio team tajiri east africa😀😀
ila chakufurahisha kwa kenya aliidhamini team yao ya taifa na club zao na hii yote kwa sababu hawana amount kubwa hivyo wanadeal na vibonde wa kenya.....halsfu soon hizo chata kwenye jez tutazitoa...mhakuna team ya tanzania inafadhiliwa na sport pesa yule anafanya matangazo kupitia team za mpira ili watu wa bet coz na wao ni profit motivated wanafanya business kama wengine tu lakin team za tanzania zinadhaminiwa na matajiri na pia makampuni makubwa au unataka tuanze kukutajia hapa😀😀😀 ficha aibu ndogo ndogo
ulitaka zije ndegeWakishindwa kucheza ball wanaleta magari
" to using"???hahaaaaaa huuuuhaaaaSasa huo msee anakuuliza nini?? It is very ironical when you see a Danganyikan Questioning a Kenyans Grammar
6.43bSportPesa deal na Everton ni 6.432 Billion Kshs. The sponsorship deal ilikuwa mara tatu ya ile ya Everton's former sponsors Chang na ivo ndio Chang walitolewa nje. Hull City almost 2 billion, also kuna Arsenal na Southampton. Na pia kuna Cape Town FC ya SA premier league whose sponsorship deal was a record in SA premier league. Pesa zenye zinalipwa hao Simba na Yanga is pocket change, possibly a days worth of betting in Kenya. Pia wana sponsor Football Kenya Federation, Kenyan Premier League, Gor Mahia, AFC Leopards, Nakuru All Stars, Kenyan Rugby union, Kenya Boxing Association, Extreme Super 8, EFC Charity Basketball, partneships with La Liga,, BOSS!!! Hawa wabongo wanajua wanasema nini 😱
Simba FC walilipwa 225 M Kshs, Yanga ni around same amount.
How much is Everton's SportPesa deal worth?
SportPesa now storms to South Africa, partners with Cape Town City FC
How rich is SportPesa’s Everton deal?
Everton announce shirt sponsorship deal with SportPesa | Daily Mail Online
Arsenal agree terms with Kenya's SportPesa
SportPesa signs a five-year sponsorship deal with Tanzania's Yanga SC - TechMoran
Why is Sportpesa very successful? | Betmoran
shut up" to using"???hahaaaaaa huuuuhaaaa
kwenu hayo maendeleo yako wapi??😀😀😀Wakishindwa kucheza ball wanaleta magari
Sasa si unaona jinsi ulivyo mjinga? Ni wapi nilisema sportpesa inadhamini ligi ya Tanzania? Vidacom inadhimi ligi ya Tanzania wala haidhamini timu yoyote kwenye hiyo ligi. Kila timu iko na mdhamini wake in this case sportpesa for yanga and simba. Get the difference between sponsoring a league and sponsoring a team. Take England for example. The English leageu is called Barclays Premier League because Barclays bank is the sponsors of the league but they DON'T sponsor any team in that league. Each team has their own sponsors. Arsenal have Fly Emirates, Man utd have Chevrolet, Chelsea have Samsung, Everton have SPORTPESA, Man City Etihad Airways and so on and so forth. Jielimishe kidogo
Ukatae ukubali lakini ukweli itabaki pale pale hadi hiyo sponsorship deal iishe....kelele yako hapa JF haitasimamisha huo mkataba. Board ya yanga au simba hata hawana habari kwamba unapiga kelele huku kuhusu hiyo deal yao na sportpesa. Endelea kujifarijihakuna team ya tanzania inafadhiliwa na sport pesa yule anafanya matangazo kupitia team za mpira ili watu wa bet coz na wao ni profit motivated wanafanya business kama wengine tu lakin team za tanzania zinadhaminiwa na matajiri na pia makampuni makubwa au unataka tuanze kukutajia hapa😀😀😀 ficha aibu ndogo ndogo
When and where did sportpesa sponsor kenyan national football team? Endeleeni kukana mambo yaliyowazi.ila chakufurahisha kwa kenya aliidhamini team yao ya taifa na club zao na hii yote kwa sababu hawana amount kubwa hivyo wanadeal na vibonde wa kenya.....halsfu soon hizo chata kwenye jez tutazitoa...m
Hehehehehakuna team ya tanzania inafadhiliwa na sport pesa yule anafanya matangazo kupitia team za mpira ili watu wa bet coz na wao ni profit motivated wanafanya business kama wengine tu lakin team za tanzania zinadhaminiwa na matajiri na pia makampuni makubwa au unataka tuanze kukutajia hapa😀😀😀 ficha aibu ndogo ndogo
But why simba or Yanga??Hehehehe
aptantech.com/2017/05/sportpesa-announces-5-year-sponsorship-deal-with-simba-sc-of-tanzania/
www.azaniapost.com/m/sports/simba-sc-signed-5-years-deal-with-sportpesa-h3456.html
Simba pekee yake walipewa Ksh 225 million na unatapika ujinga hapa. Ukisoma hizo links utaambiwa hiyo ni record deal ya sponsorship Simba imewahi kusign. Yani hawajawahi kupokea udhamini wa kiasi hicho tangu izinduliwe. Alafu unatuambia jinsi inadhaminiwa na matajiri wa tz!!!!!
go tanzania😀😀😀😀
That question can only be answered by sportpesa themselves. Wacha hata yanga na simba, sina hata habari mbona walidhamini Gor na AFC huku kenyaBut why simba or Yanga??
hakuma kilicho wazi tunachokuambia ndiyo ukweli sportpesa si kitu hapa tz.......haina mchango wowote wa maanaWhen and where did sportpesa sponsor kenyan national football team? Endeleeni kukana mambo yaliyowazi.