mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Yusuph manj,salim bakhresa,mo dewj.Matajiri wagani kwani wewe ni fala fala tu hebu wataje...
Yusuph manj,salim bakhresa,mo dewj.Matajiri wagani kwani wewe ni fala fala tu hebu wataje...
mliwafuga mkizi?😀😀😀ndiyo .............tena maji yalijaa kweli kweli na samaki tukafuga .......![]()
![]()
Reli kwa ajiri ya treni ya umeme haijengwi siku mbili iishe.Naona wamekosa updates wameanza kuonyesha sijui bweni na vijiofisi? Na kama reli inajengwa usiku na mchana mbona hakuna kitu zaidi ya vumbi?
wote wahindi kwani waeusi kama mulisaaa ni malofa?Yusuph manj,salim bakhresa,mo dewj.
nimesahau..........pitia pitia kwenye vitabu vya history .........utapatamliwafuga mkizi?😀😀😀
Ndio hapo tunafunga hydro power,ujenzi umeanza.hapa ni pale palifurika hivi majuzi unfortunately hizo picha zimetolewa kwenye mitandao.
Hapo tarajia povu for asking an honest question.Naona wamekosa updates wameanza kuonyesha sijui bweni na vijiofisi? Na kama reli inajengwa usiku na mchana mbona hakuna kitu zaidi ya vumbi?
mliwafuga mkizi kwa hasiranimesahau..........pitia pitia kwenye vitabu vya history .........utapata
Weusi hawako interested na mipira.wote wahindi kwani waeusi kama mulisaaa ni malofa?
hidro ni samaki yupi?Ndio hapo tunafunga hidro power,ujenzi umeanza.
Weusi ndio shamba la bibi aka vibaraka wa waaarabu na wahindi..Weusi hawako interested na mipira.
Hidro anapatikana Kenya.hidro ni samaki yupi?
Hapana huku si kama Kenya,huku weusi sio vibaraka.Weusi ndio shamba la bibi aka vibaraka wa waaarabu na wahindi..
It's crystal clear that you don't know a thing or two about club sponsorship in world football. Naona hata Emirates pia waliomba msaada kutka kwa arsenalwanadhamini au wameomba kutangaziwa bishara yao???😀😀😀😀 team za tanzania zimeshikwa na matajiri haya huyo sport pesa anadhamini nn???😛😛 au we unafkiri team za tanzania zina njaa kama kina gor mahia hehehheheh😛
labda wewe nikuulize swali dogo sana la kiuzushi sport pesa ni kampuni ya wapi???😀😀😀😀
maana unaongea sana ukimaanisha kama ni kampuni ha kenya 100% talk like a mature person
52% ni ya watu wa nje 48% ni ya kenya sasa unavooongea ni kama vile kampuni yenu kabisa kabisa hehehheh😛😛😛😛😛
simba wanajenga uwanja wa kisasa na kazi imeshaanza maeneo ya bunju dar haya sema sport pesa ndio wanawajengea heheh bogus kweli wewe
mo dewji ndio amenunua 49% of simba😀😀😀Matajiri wagani kwani wewe ni fala fala tu hebu wataje...
wako wapi kama kina bakhresa na modewji onyesha hata mojaHapana huku si kama Kenya,huku weusi sio vibaraka.
hahahh kampuni za kitanzania zina dhamini na most of kampuni nyingi zimedhamini team za mpira 😀😀Ni kampuni ya kitanzania
Hawa watu wanaxhekesha sana...eti simba inadhaminiwa na matajiri wakati ile deal yao na sportpesa ya Ksh 225 million is the highest amount wamewahi pata in terms of sponsorship tangu izunduliwe. Looks like hawa "matajiri" walikuwa wanaipatia milioni moja heheehHEHEHEHE Lorry linajazwa kwa vijiko na eti Simba ina dhaminiwa na matajiri...this is actually a funny video all should watch.
Reginard mengiwako wapi kama kina bakhresa na modewji onyesha hata moja