Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SEKUNDE,DAKIKA,MASAA NA siku zazidi kusogea soon mambo yanakuwa motoo
0F8A2043-660x400.jpg
 
hakuma kilicho wazi tunachokuambia ndiyo ukweli sportpesa si kitu hapa tz.......haina mchango wowote wa maana
Haina mchango wowote wa maana wakati inadhamini timu zenu? Hehehe....denial is what you danganyikans are good at. Udhamini simba inapokea kutoka kwa sportpesa haijawi pokea tangu hiyo timu izunduliwe. That was a record deal
 
Hii yote ni repetition naona hata kambi iko 100km away wanatumia the same picture and videos za kambi ya mwanzo😀😀😀 yani kazi au vyuma vimekaza.
uhahah wacha hasira bana kisa tanzania inajenga the modern electric train in africa😀😀😀😀
 
Haina mchango wowote wa maana wakati inadhamini timu zenu? Hehehe....denial is what you danganyikans are good at. Udhamini simba inapokea kutoka kwa sportpesa haijawi pokea tangu hiyo timu izunduliwe. That was a record deal
hawana uwezo wakudhamini........club za Tz,,,,amini hivyo
 
Hehehehe

aptantech.com/2017/05/sportpesa-announces-5-year-sponsorship-deal-with-simba-sc-of-tanzania/

www.azaniapost.com/m/sports/simba-sc-signed-5-years-deal-with-sportpesa-h3456.html

Simba pekee yake walipewa Ksh 225 million na unatapika ujinga hapa. Ukisoma hizo links utaambiwa hiyo ni record deal ya sponsorship Simba imewahi kusign. Yani hawajawahi kupokea udhamini wa kiasi hicho tangu izinduliwe. Alafu unatuambia jinsi inadhaminiwa na matajiri wa tz!!!!!
heheh so unataka leo kuniambia mm kua sport pesa ndio inailisha simba sport club kwa kila kitu na huyo sport pesa anatangaza biashara yake kupitia simba na anawalipa simba kwa kutangaza bishara yake labda nikupe taarifa fupi tu

umeona hao wenye pesa hehehe amenunua share ya simba 49% na huyo ndio sponsor mkubwa wa team ya simba

Mo Dewji Ashinda Zabuni ya Kuinunua Klabu ya Simba - Global Publishers
 
Sasa si unaona jinsi ulivyo mjinga? Ni wapi nilisema sportpesa inadhamini ligi ya Tanzania? Vidacom inadhimi ligi ya Tanzania wala haidhamini timu yoyote kwenye hiyo ligi. Kila timu iko na mdhamini wake in this case sportpesa for yanga and simba. Get the difference between sponsoring a league and sponsoring a team. Take England for example. The English leageu is called Barclays Premier League because Barclays bank is the sponsors of the league but they DON'T sponsor any team in that league. Each team has their own sponsors. Arsenal have Fly Emirates, Man utd have Chevrolet, Chelsea have Samsung, Everton have SPORTPESA, Man City Etihad Airways and so on and so forth. Jielimishe kidogo
ndio maana nakwambi sport pesa wanatoa pesa kwa simba kwasababu ya kutanganza bishara zao ndio maana hata kwenye jezi wameeka sport pesa wanatangaza biashara zao heheh yani wewe unachekesha sana yani simba sio kama gor mahia my friend simba ina revenue kubwa kuliko team zote za kenya combine😀😀
 
Ukatae ukubali lakini ukweli itabaki pale pale hadi hiyo sponsorship deal iishe....kelele yako hapa JF haitasimamisha huo mkataba. Board ya yanga au simba hata hawana habari kwamba unapiga kelele huku kuhusu hiyo deal yao na sportpesa. Endelea kujifariji
hahaha simba ni team kubwa sana tena ni miongoni mwa team tajiri east africa 😀😀😀 na wanaoidhamini simba ni matajiri wakubwa sana tanzania sasa usijidanganye sport pesa ndio imeiwezesha simba Big NO

sport pesa wamesaidiwa na simba kutangaza bishara yao tanzania kwasababu makampuni ya kubet ni mengi sana tanzania na yanaushindani mkali sana😛😛
 
hawana uwezo wakudhamini........club za Tz,,,,amini hivyo
Just in case you didn't know, Sportpesa is sponsoring Hull City to the tune of Ksh2 billion, Everton FC to the tune of Ksh6.3 billion and also has partnership programs with Arsenal FC. Sasa hizi village clubs zenu za yanga na simba ndio itashindwa kusponsor? Hizi zinasponsor tu na change. For instance, Simba walipewa just Ksh 225 million. Can you compare that with Ksh6 bilion waliyosign na Everton? Wewe ni wazimu
 
wanadhamini au wameomba kutangaziwa bishara yao???😀😀😀😀 team za tanzania zimeshikwa na matajiri haya huyo sport pesa anadhamini nn???😛😛 au we unafkiri team za tanzania zina njaa kama kina gor mahia hehehheheh😛
 
labda wewe nikuulize swali dogo sana la kiuzushi sport pesa ni kampuni ya wapi???😀😀😀😀
maana unaongea sana ukimaanisha kama ni kampuni ha kenya 100% talk like a mature person
52% ni ya watu wa nje 48% ni ya kenya sasa unavooongea ni kama vile kampuni yenu kabisa kabisa hehehheh😛😛😛😛😛

simba wanajenga uwanja wa kisasa na kazi imeshaanza maeneo ya bunju dar haya sema sport pesa ndio wanawajengea heheh bogus kweli wewe
 
Matajiri wagani kwani wewe ni fala fala tu hebu wataje...
 
labda wewe nikuulize swali dogo sana la kiuzushi sport pesa ni kampuni ya wapi???😀😀😀😀
maana unaongea sana ukimaanisha kama ni kampuni ha kenya 100% talk like a mature person
52% ni ya watu wa nje 48% ni ya kenya sasa unavooongea ni kama vile kampuni yenu kabisa kabisa hehehheh😛😛😛😛😛

simba wanajenga uwanja wa kisasa na kazi imeshaanza maeneo ya bunju dar haya sema sport pesa ndio wanawajengea heheh bogus kweli wewe

HEHEHEHE Lorry linajazwa kwa vijiko na eti Simba ina dhaminiwa na matajiri...this is actually a funny video all should watch.
 
That question can only be answered by sportpesa themselves. Wacha hata yanga na simba, sina hata habari mbona walidhamini Gor na AFC huku kenya
Ok,should be any team else.

Hiyo ndio inaitwa matangazo ya biashara,unalipa ili ujitangaze.

Ukiambiwa huyu ni kama tu NMB ktk mabasi ya UDART unaelewa.
 
Back
Top Bottom