Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe....mnatia huruma kweli! Na ile yanga tenu saa hii iko wapi? naamini wako pale tandale na mbagala kwa shacks (dream houses za watanzania) wakingoja kichapo cha mwaka kutoka kwa serikal, Gor mayienga in confiderations cup
na huyo ni msemaji wa team ya simba heheh anatembelea prado matata😀😀😀😀 wapi wa gor mahia
40E18C5F-228F-44B6-B009-CD7BC3CF710C.jpeg
 
hehehe mkenya mmoja anaongea upuuzi eti sport pesa wanafadhili yanga na simba hahaha nimecheka sana na hajui leo kua hzo ndio team tajiri east africa😀😀
 
ufadhili gani wewe bwege kweli ww so sport pesa ndio iliwapa hzo expensive buses na kuwajengea ofisi tanzania ????hahahha nikikwambia revenue ya yanga na simba au azam kusanya upuuzi wote wakenya hamnusi hata ukucha hakuna kitu sport pesa imeongeza kwa yanga au simba hehehehhe wala usijisumbue kutumia nguvu kuongelea sport pesa tanzania
Naoba hii story ya sportpesa sponsorship inawapa kiwewe sana. Tulia kaka, kwa ubaya hauna uwezo wa kuongea kitu pale yanga au simba usikike so kelele utapiga tu hapa ndani jf kisha unyamaze...naona umeraja mambo mengi sijui mabasi, sijui ofisi, swali langu linabakia pale pale: mbona hizi zote hazijasaudia hizi vilabu zenu kunawiri katika muchezo?
 
hio ni team B munacheza nazo team A zote ziko huku zinacheza ligi kuu heheh munajipa matumaini ya bure tu heheh nimefurah kuona mpaka kariobangi slum ina team sijui maskini ainafadhiliwa na nani??😀😀😀😀
Hakuna matumaini tunajipa. kubalini tu vitu zingine, kwa michezo hamna cha kuambia wakenya coz tunawashinda kwa nyanja zote. Sasa kama Rayon sport ndo mlushindwa kufunga hata bao moja mkicheza nyumbani sasa Gor ndo mtawezana nao?
 
na huyo ni msemaji wa team ya simba heheh anatembelea prado matata😀😀😀😀 wapi wa gor mahia
View attachment 794314
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
 
Naoba hii story ya sportpesa sponsorship inawapa kiwewe sana. Tulia kaka, kwa ubaya hauna uwezo wa kuongea kitu pale yanga au simba usikike so kelele utapiga tu hapa ndani jf kisha unyamaze...naona umeraja mambo mengi sijui mabasi, sijui ofisi, swali langu linabakia pale pale: mbona hizi zote hazijasaudia hizi vilabu zenu kunawiri katika muchezo?
kwanza ujue team za tanzania zinadhaminiwa na matajiri my friend wala usijipe matumaini na sport pesa na ligi kuu ya tanzania inadhaminiwa na vodacom tanzania na azam pia analigi yake hehehe yani huna cha kuongea wewe eti sport pesa adhamini team tajiri afrika mashariki ar u realy serious????😀😀😀😀 nimecheka sana
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
nioneshe msemaji wa gor mahia ana nn cha maana hebu nioneshe wewe 😀😀😀😀 na huyo nimekuonesha msemaji kazi yake ni kusema tu bas hana kaz nyingine
 
Mungu awazidishie hao tuzo waliotoa hilo bus chakavu kwa gor mahia maana wangekua wanapanda matatu😀😀😀😀😀😀 hao sport pesa wako wapi??
57FABA22-45C5-4F8C-BAB5-F0F05EB6DEA3.jpeg

wakat hii ni team ndogo sana tanzania mtibwa sugar ina miliki bus la adabu😛😛
0E6D8FB6-D257-452D-A1C0-460A9FEB2788.jpeg
 
Naoba hii story ya sportpesa sponsorship inawapa kiwewe sana. Tulia kaka, kwa ubaya hauna uwezo wa kuongea kitu pale yanga au simba usikike so kelele utapiga tu hapa ndani jf kisha unyamaze...naona umeraja mambo mengi sijui mabasi, sijui ofisi, swali langu linabakia pale pale: mbona hizi zote hazijasaudia hizi vilabu zenu kunawiri katika muchezo?
na wanaodhamini ligi kuu ya tanzania ni vodacom hehehehehh 😀😀😀😀😀
186E5D56-29D5-45D3-BACC-E41EC5FB7267.jpeg
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
na hayo ni ma bus yanayomilikia na azam fc pekee😀😀😀😀😀😀😀 alaf unaongelea sport pesa hehehhehe wewe unachekesha sana
8A043D3F-3959-48FD-B244-4683290C3BFF.jpeg
FA833D82-4264-42CD-A4D5-DE7694972814.jpeg
337F90CA-9AB9-4CAD-B87E-17F13CC7B638.jpeg
749B3B62-ABDB-4CFD-983F-55099FE44D65.jpeg
D225E9FC-DCAE-423F-8CC5-7E99510D50FF.jpeg
 
Hakuna matumaini tunajipa. kubalini tu vitu zingine, kwa michezo hamna cha kuambia wakenya coz tunawashinda kwa nyanja zote. Sasa kama Rayon sport ndo mlushindwa kufunga hata bao moja mkicheza nyumbani sasa Gor ndo mtawezana nao?
hio ni yanga 😀😀😀😀😀
C34D3A10-3E50-4151-BF61-9AF9DC4D6AC2.jpeg
04868DFB-0D89-4378-B3D4-05A073584C7D.jpeg
480A0ACC-495A-4822-B2F5-506D151E5E4A.jpeg
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
singida united hehehhe😀😀😀😀😀
safari bus pamoja na city tour bus
6CF8EBFB-D1B9-42EA-9F17-9C308B5A3ED7.jpeg
9CCC0C64-0BD1-4714-A103-56B185E55446.jpeg
C2EF4942-2242-4440-B236-77ABDC2C9C44.jpeg
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
stand united team changa kabisa tanzania wanamiliki marcedez benz bus heheh pamoja na city tour bus
😀😀😀😀😀😀
BFE7BCB5-1337-4ABF-B76A-9D829E600B16.jpeg
1BC2874E-F76B-46B1-AAD2-5802F330B021.jpeg
963BF25A-31CD-4F74-8841-ACE8AACC3654.jpeg

EE213DD9-A77E-4AD9-9500-528949AFF842.jpeg
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
simba sport club safari bus pamoja na city tour bus😀😀😀😀
20E57241-B50B-4059-819F-98BF5828F18C.jpeg
8604BB5A-2D4D-4969-90C1-115840D60E6D.jpeg
C3B158C2-11B3-4EB9-8CC0-75955D86FEFA.jpeg
00295604-3D0D-4252-AE3D-62F50B8F0960.jpeg
 
Hakuna matumaini tunajipa. kubalini tu vitu zingine, kwa michezo hamna cha kuambia wakenya coz tunawashinda kwa nyanja zote. Sasa kama Rayon sport ndo mlushindwa kufunga hata bao moja mkicheza nyumbani sasa Gor ndo mtawezana nao?
mbeya city fc😀😀😀😀
60701F65-45B6-4BC2-905D-096BDC888978.jpeg
A268A1AF-648D-4639-8207-EBC988040A50.jpeg
D3D26532-A339-47AD-A8EE-97D1DFB20C9E.jpeg
29AD07BD-E92E-4A89-A490-693FDC474767.jpeg
 
Wewe kijana yaonekana umechizi....saaa prado ni gari ya kutajia watu?! nkt. Prados are all over the place. Heri hata ungesema tu ako na gari lakini si kutaja neno prado as if ni gari ya maana sana
hata mbao fc team ya juzi tu ina bus zuri kuliko gor mahia hehhehe team inamiaka 50 haina hata banda la choo😀😀😀😀
4D6104B9-E729-42B4-8871-3E42B5F5FE02.jpeg
3265B276-1614-43D9-9720-CFA393A3985E.jpeg
223440AD-0A08-401D-B405-0E5D4D6265EF.jpeg
 
Hakuna matumaini tunajipa. kubalini tu vitu zingine, kwa michezo hamna cha kuambia wakenya coz tunawashinda kwa nyanja zote. Sasa kama Rayon sport ndo mlushindwa kufunga hata bao moja mkicheza nyumbani sasa Gor ndo mtawezana nao?
hakuna team ya tanzania inafadhiliwa na sport pesa yule anafanya matangazo kupitia team za mpira ili watu wa bet coz na wao ni profit motivated wanafanya business kama wengine tu lakin team za tanzania zinadhaminiwa na matajiri na pia makampuni makubwa au unataka tuanze kukutajia hapa😀😀😀 ficha aibu ndogo ndogo
 
Kuna mmoja wao alikuwa akinyamba hapa eti sportpesa haina pesa za kuwawezesha kusponsor hizi vilabu zao za ujinga simba na yanga wakati hata sasa jezi wanatumia ineandikwa sportpesa!! Hawa watu ni vilaza kweli

SportPesa deal na Everton ni 6.432 Billion Kshs. The sponsorship deal ilikuwa mara tatu ya ile ya Everton's former sponsors Chang na ivo ndio Chang walitolewa nje. Hull City almost 2 billion, also kuna Arsenal na Southampton. Na pia kuna Cape Town FC ya SA premier league whose sponsorship deal was a record in SA premier league. Pesa zenye zinalipwa hao Simba na Yanga is pocket change, possibly a days worth of betting in Kenya. Pia wana sponsor Football Kenya Federation, Kenyan Premier League, Gor Mahia, AFC Leopards, Nakuru All Stars, Kenyan Rugby union, Kenya Boxing Association, Extreme Super 8, EFC Charity Basketball, partneships with La Liga,, BOSS!!! Hawa wabongo wanajua wanasema nini 😱

Simba FC walilipwa 225 M Kshs, Yanga ni around same amount.

How much is Everton's SportPesa deal worth?

SportPesa now storms to South Africa, partners with Cape Town City FC

How rich is SportPesa’s Everton deal?

Everton announce shirt sponsorship deal with SportPesa | Daily Mail Online

Arsenal agree terms with Kenya's SportPesa

SportPesa signs a five-year sponsorship deal with Tanzania's Yanga SC - TechMoran

Why is Sportpesa very successful? | Betmoran
 
Simba wamengangana Kama Punda na hio ni clabu ndogo... Home Boyz Wataweza kweli??? Lakini Big up kwenyu... Sikutaka mtolewe Mapema Nataka Mike Finally... Ndio Mkutane na Baba yao.. Gor!!!
i have read somewhere that these kariobangi chokoraas are very proud to play with simba sport club,current vpl champions.
 
Back
Top Bottom