Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani hadi wewe Unacatch mafeelings[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hasa si ndiyo ukweli huo........sportpesa haitusaidii kitu cha zaidi sisi ndiyo tunayoisaidia kuibrand
 
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani hadi wewe Unacatch mafeelings[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
That's why I told him that I love the tone in his voice...It tells a lot about him and the points he is trying to raise
 
Sisi tunabelieve in actions. Kesho watalia mara ya pili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] 5-0 Utaskia Mara Ohh Uwanja mbovu Ohh Ofisi Ohh Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] 5-0 Utaskia Mara Ohh Uwanja mbovu Ohh Ofisi Ohh Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehe....they are so full of excuses hawa watu. Utasikia hata wakisema jua ilikuwa kali sana ndo maana wakapoteza! hehe. Ama eti upepo ilikuwa ikivuma sana
 
Tangu lini swali ikawa jibu? niambie ni kitu gani mbaya na hiyo sentence ndo uniuluze mswali juu ya swali
Sasa huo msee anakuuliza nini?? It is very ironical when you see a Danganyikan Questioning a Kenyans Grammar
 
8676.jpg
8683.jpg
8560.jpg
 
Hehehe....they are so full of excuses hawa watu. Utasikia hata wakisema jua ilikuwa kali sana ndo maana wakapoteza! hehe. Ama eti upepo ilikuwa ikivuma sana
Tz ni Country ya kuhurumia tu
 
Simba wamengangana Kama Punda na hio ni clabu ndogo... Home Boyz Wataweza kweli??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lakini Big up kwenyu... Sikutaka mtolewe Mapema Nataka Mike Finally... Ndio Mkutane na Baba yao.. Gor!!!
na hao ni team B simba hehehe team A wako huku wanacheza ligi 😀😀😀😀😀
 
Unaposema maendeleo unamaanusha nini haswa wakati hata hizi timu zenu tajika bado zinapata ufadhili kutoka kenya? Ama maendeleo ni nucharzwa mabao kila time katika international matches? Kama hiyo ndo maendeleo then wacha tu ikae ila nataka kukukumbusha kwamba ile level ya maendeleo Gor imepata hadi kufikia sasa hizo team zenu takataka za yanga na simba hazitawahi fikia milele. Just in case you didn't know, Gor is the only team in east and central Africa to ever lift a continental tittle jambo ambalo litabaki kuwa ndoto kwa yanga na simba. Hiyo ndio maendeleo
ufadhili gani wewe bwege kweli ww so sport pesa ndio iliwapa hzo expensive buses na kuwajengea ofisi tanzania ????hahahha nikikwambia revenue ya yanga na simba au azam kusanya upuuzi wote wakenya hamnusi hata ukucha hakuna kitu sport pesa imeongeza kwa yanga au simba hehehehhe wala usijisumbue kutumia nguvu kuongelea sport pesa tanzania
 
Hehehe....mnatia huruma kweli! Na ile yanga tenu saa hii iko wapi? naamini wako pale tandale na mbagala kwa shacks (dream houses za watanzania) wakingoja kichapo cha mwaka kutoka kwa serikal, Gor mayienga in confiderations cup
hio ni team B munacheza nazo team A zote ziko huku zinacheza ligi kuu heheh munajipa matumaini ya bure tu heheh nimefurah kuona mpaka kariobangi slum ina team sijui maskini ainafadhiliwa na nani??😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom