Melvin 16
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 483
- 500
Asante kiongozi ilikuwa kero hasa acha aende akaongee matusi yake huko mashada.Hahahaha chezeya watz huyu...hakujua kama Mimi nilikuwa nampeleka kibra ili achinjwe.
akirudi kwa ID mpya atarudi kwa adabu.
na akija kwa kasi ile ile ya matusi,kazi itakuwa moja tu,kum-troll ili apigwe ban.
sisi ndio watz tunaomiliki jf.
huo ujinga wao waupeleke Twitter.kule ndio huwa uwanja wao wanaotumia kutoa stress zao wanapo debate na watu wa mataifa ya nje ya kenya.
