Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nime kueleza Air Tel Tanzania. Sasa zima domo lako sasa.
4f3ff5b1fc7903e0f332a6e9839c724b.jpg

Walimake profit ya $6million si $200b
 
annael,ichoboy na motochini,endeleani na pace yenu ile ile ya kujibishana na wakenya kwa ustaarabu.huyu chizi anayejiita COLLOH-MZII niacheni Mimi.nataka nimnyoreshe leo ili aione jf chungu.

tumemvumilua kwa mda sasa.naona kaingia jf kwa pupa.
 
MUPS Tower 26 floors is the current tallest building in Eldoret my friend...KVDA used to be the tallest before MUPS was completed...other buildings taller than MUPS are also under construction

Mups4-4-1024x477.jpg


Mups Plaza beautifies Eldoret Skyline
Mups3-3.jpg
KVDA ina fl ngapi?
 
Hii mada naona imeingiliwa aisee!!
Kwahelini humu kuna kirusi si bure
fa247e17475ccc753393b39a935aa3f5.jpg
 
Bora maana ilikuwa shida humu
unaweka picha zisizo na maadili kweli hivyo!?
Jf ni Forums Kubwa na mada hii inatazamwa na watu wengi
zaid ya lakimoja wamefuatilia Mada hii!!
Itakuwa jambo la Kijinga
kuacha mtu anapost picha za Hovyo hovyo
Hii ni aibu
0c78ca0e4fd95ba52c1b12c6ae368b8e.jpg
 
Bora maana ilikuwa shida humu
unaweka picha zisizo na maadili kweli hivyo!?
Jf ni Forums Kubwa na mada hii inatazamwa na watu wengi
zaid ya lakimoja wamefuatilia Mada hii!!
Itakuwa jambo la Kijinga
kuacha mtu anapost picha za Hovyo hovyo
Hii ni aibu
0c78ca0e4fd95ba52c1b12c6ae368b8e.jpg
kachafua Uzi kabisa...wapi omo sasa tuoshe
 
Tayari Tumesha muweka mahali salama
hahaha
5add2509c14599659979b7e13ea85e5b.jpg
Hahahaha chezeya watz huyu...hakujua kama Mimi nilikuwa nampeleka kibra ili achinjwe.

akirudi kwa ID mpya atarudi kwa adabu.

na akija kwa kasi ile ile ya matusi,kazi itakuwa moja tu,kum-troll ili apigwe ban.

sisi ndio watz tunaomiliki jf.
huo ujinga wao waupeleke Twitter.kule ndio huwa uwanja wao wanaotumia kutoa stress zao wanapo debate na watu wa mataifa ya nje ya kenya.
 
Ndio wameanza kumine na in a change lifes za wasee pole pole.
Jipe moyo hvo hvo resources zilizopo bongo kwenu mutasubiri sana nikianza kukuchambulia usije kimbia hahahhah kila kona munatafuta lakini wapi hamutoboi hahahhahahahhaa
 
Hahahaha chezeya watz huyu...hakujua kama Mimi nilikuwa nampeleka kibra ili achinjwe.

akirudi kwa ID mpya atarudi kwa adabu.

na akija kwa kasi ile ile ya matusi,kazi itakuwa moja tu,kum-troll ili apigwe ban.

sisi ndio watz tunaomiliki jf.
huo ujinga wao waupeleke Twitter.kule ndio huwa uwanja wao wanaotumia kutoa stress zao wanapo debate na watu wa mataifa ya nje ya kenya.

Ukiangalia si vizuri kupost picha za vile
Habari hii inatazamwa na kufuatiliwa na Watu wengi
inapelekea Kuichafua Jf yetu
hatuwezi kubari bwana
wengine nibora Nishinde na njaa
ila nisi ikose jf!!

Tunaomba akirudi tuendelee vizuri
Mada inapendeza kuwapo na Upinzani
lakini si kwapicha zisizo na Maadili ya Kitanzania na hata Kenya
 
Wewe fala leta anything worth more than $100b ndio tuonge atuwezi ongea na maskini bongolala
Kazidiwa kila pembe sasa ameingia kwenye resources hahahahha anataka kushindana na Tanzania hahhhahahhaha
 
Back
Top Bottom