ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sina wivu bro mm naijua nairobi nimekaa ila nakueleza dar ni mji mkubwa tena mkubwa sana kwa nairobi na navoifahamu nairobi imejengeka sehem moja so mm nashangaa kila aiku mnapost picha zile zile kila Siku hahahahahhahaWivu........
Dar ituonyeshe urembo wa aina huu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()