Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante mkuu.huyu kijana kavumiliwa sana na watz, hana hata mwezi tangu ajiunge jf,lakini speed ya matusi aliyokuwa anaenda nayo haikuwa na staha mbele ya watu wazima wanaonjiheshimu.ilibidi atokee mtu wa kumpunguza speed.

nimekuwa member mwaminifu wa jf tangu 2011,na nimewahi ku-debate na member wengi wakenya hapa jf.

niliwahi ku-debate na kina kabaridi,nairobery na member wengine wakongwe wakenya ambao kwa sasa hawaonekeni.

hivyo basi nina uzoefu na ujanja mwingi ktk kucheza na akili za member vichaa kama huyu kijana wa mitaa ya kibera toka kenya.

nimemuingiza kwenye 18,akapaniki,hatmaye akaanza kuleta picha za ajabu ajabu,zile ambazo wakenya hupenda kuzitumia kule Twitter ku-troll watu wa mataifa mengine pinzani na kenya.mwishowe akachezeya ban.
Pamoja sana kiongozi hatuwezi kuwaacha vichaa wachache waje kutuharibia JF yetu, jamaa alikuwa ananitia hasira sana na matusi yake akiona ameshindwa kwenye hoja anatumia matusi, job well done mkuu.
 
Bongo raha
royalreservebeachclub4.jpg
 
Random Nairobi Pics

5655135052_1350fa5a82_b.jpg


5017316034_0ef03fc96b_b.jpg


2565249156_6ed7f83a2f_b.jpg


15253084_1341400509206001_2807126264580669440_n.jpg


14727390_1657813184508598_2180062572667994112_n.jpg


14676728_631765933669467_735318059140513792_n.jpg


11079569_833122243427133_2548664315556738702_o.jpg


CuenN3aXYAAvnyT.jpg


14482961_192538647847655_7955424161235468288_n.jpg


14478481_672294409613087_6606681138960269312_n.jpg


14583432_222621844822977_1711930168404082688_n.jpg


27979935556_d439134086_k.jpg


eD53MVi.jpg


13713964_112130465893245_399575372_n.jpg



28615795991_6a926f896c_h.jpg


28661334546_d4e6a5ef25_b.jpg


12940927_270303419976320_1065004458_n.jpg


13298090_877071979088295_909717718_n.jpg


13267490_513597275494743_1198211667_n.jpg


While others compare the size, we look at aesthetics..........Nairobi's clearly tops all the other cities in this aspect.
Ahhahahaha random pics au sio hahhaha top eti rahaaa sana jipe moyo sio mbaya hahhahhahhaha
Mm hua munanifurahisha sana sijui kwa wengine
 
Hiyo ni ya mzingo. Si hata nimekuonyesha zote mbili side by side. Treni aina mbili Kenya zililetwa kuhudumu kwenye reli ya SGR, ya mizingo na ya Abiria

china1-1-1024x669.jpg
So are those modern train????? Dereva mpaka aekewe ngazi za kupanda na kushuka serious????
Hahaaahahahah hebu niambie wewe unaona VP
Bro wachina wamewapiga mm nakwambia
6a3568ec75354456ab1e6b6fc1540ba0_XL.jpg
 
Mwongozo beach Housing estate, Kigamboni Dar es salaam. Project inaelekea kuisha sasa
3 (1).jpg
7.jpg
8.jpg
9.jpg
2.jpg
 

Attachments

  • 9.jpg
    9.jpg
    29.9 KB · Views: 64
  • 8.jpg
    8.jpg
    36.7 KB · Views: 58
  • 7.jpg
    7.jpg
    25.4 KB · Views: 46
  • 3 (1).jpg
    3 (1).jpg
    31.4 KB · Views: 69
Back
Top Bottom