Unaposema maendeleo unamaanusha nini haswa wakati hata hizi timu zenu tajika bado zinapata ufadhili kutoka kenya? Ama maendeleo ni nucharzwa mabao kila time katika international matches? Kama hiyo ndo maendeleo then wacha tu ikae ila nataka kukukumbusha kwamba ile level ya maendeleo Gor imepata hadi kufikia sasa hizo team zenu takataka za yanga na simba hazitawahi fikia milele. Just in case you didn't know, Gor is the only team in east and central Africa to ever lift a continental tittle jambo ambalo litabaki kuwa ndoto kwa yanga na simba. Hiyo ndio maendeleo