Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hope unajionea long passes za Sharks
ila jamaa uwanja wenu ni mgumu sijawahi ona..yaani mpira unadunda hapa unaenda kutua kuleee..pasi ikipigwa inadunda dunda hatari tupu!!
wachezaji wa tz wanacheza mechi ktk mazingira magumu sana dah!!
 
wapi kariobangi washaenda kulala kwenye slums😀

Hehehe....mnatia huruma kweli! Na ile yanga tenu saa hii iko wapi? naamini wako pale tandale na mbagala kwa shacks (dream houses za watanzania) wakingoja kichapo cha mwaka kutoka kwa serikal, Gor mayienga in confiderations cup
 
Hehehe....I love the tone in your voice...It tells of a person so hurt by the current events but doesn't want to show it so he only resorts to using words which are carefly chosen and meant to massage his ego. eti kuhurumiwa. Go on boy
kweli kabisa sitaki upuuzi sijui sportpesa hatuna faida nayo huku.....ni upuuzi wa mwisho kwetu...

[HASHTAG]#pale[/HASHTAG] unapochora[emoji2] [emoji2]
 
Kazi yao tu ni kutaja neno slum yet as a big team in that Dangagiza they were not even able to string any meaningful passes...... Kumbe hakuna kandanda huko kabisa. Watu wa mchele. Duuuh
Team ya Ghetto inakimbiza Club ya Mabingwa Tz[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huu uwanja ni wa rugby siyo wa football ndiyomaana yanga Jana ilitolewa sababu walishindwa kucheza zile ground pass wanazopigaga pale uwanja wa Taifa huu uwanja ukipiga ground pass mpira unadundadunda alafu unakata Kona. wenyewe wameuzoea ndiyo maana wanatupa wakati mgumu tupelekeni kwenye viwanja vizur muone kama mtapata hata Sare hehe. hàpo huo uwanja wakijinga hata Barcelona muatawafunga
kweli mkuu uwanja mbovu sana yaani Mpira unadunda hapa unatua kuleee dah!!
 
uwanja mbaya ukipiga pass mpira unakata Kona uwo ni uwanja au shamba? matuta kibao utapigaje pass inyooke? tengezeni uwanja kwanza.
Unalialia Kiwanja Hapa na Hio Simba ndio ilitandikwa na Nakuru all stars Last year.. KWENYU!!
 
uwanja mbaya ukipiga pass mpira unakata Kona uwo ni uwanja au shamba? matuta kibao utapigaje pass inyooke? tengezeni uwanja kwanza.
Hizi vijisabavu ndo maana mumebaki nchi ldc hadi wa leo. Mnaongea ni kama huko kwenu kuna viwanja vya kimataifa kama zile za ulaya
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maneno ya mlevi tungi likizidi punde anapovesha miwani zaidi......hata analoliongea huwa halitambui
Niambie ninachoingea chenye sijui....wewe nitakutajia kadhaa ukiniuliza kukuhusu
 
Hizi vijisabavu ndo maana mumebaki nchi ldc hadi wa leo. Mnaongea ni kama huko kwenu kuna viwanja vya kimataifa kama zile za ulaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Last Year Walipigwa Kwao Kama Maumbwa na Team ndogondogo za Kenya Gor walikuwa Sure Hio Finally ni yao Bila stress ya Tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] Same to this... Infact wamejaribu sana this year
 
Hehehe....I love the tone in your voice...It tells of a person so hurt by the current events but doesn't want to show it so he only resorts to using words which are carefly chosen and meant to massage his ego. eti kuhurumiwa. Go on boy
"to using"..????nyie jamaa ndo wanasema mnajua english khaaa!!
 
ukiandika jambo hapa sio private tena!yaani ukishapost tu basi si jambo la kwako peke yako, lishakuwa public..!!sawa slum dweller??
uzuri wetu si wabongo hatupendi uongo uongo..!!
English ya he don't na you doesn't ni english ya wapi??labda ni english ya korogocho huko kwenu..
Naona umekosa cha kufanya so wacha nikupe kazi ya kufanya usaidie mwenzako....'first personal pronoun' ni nini?
 
kweli kabisa sitaki upuuzi sijui sportpesa hatuna faida nayo huku.....ni upuuzi wa mwisho kwetu...

[HASHTAG]#pale[/HASHTAG] unapochora[emoji2] [emoji2]
Again I love the tone in your voice young man....keep going boy, keep going. I hope you did literature in high school and you know what I mean
 
Back
Top Bottom