Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo data unazitolea wapi? Kwenye hiyo link hakuna kitu kama hicho. Unatoa link tofauti halafu unaleta data tofauti. Can you give us the link of this data?
IMG_20180604_160043_107.jpg
 
And because you are stupid, you can't see that's a typo. I beleive that there was no typo in "first personal pronoun" when you were writing. Am still asking what the **** is this?
When a doctor's injection enters the patient, the patient needs to rest.
Improve your English Structure.
upload_2018-6-4_16-8-24.png
 
Give me the link of this:-





Acha kuruka ruka. Sisi siyo wababaishaji kama wewe. When somebody ask the question go straight to answer it.

Sijui wewe unasoma nini kwa izo link unaitisha. Urudi tu hapa ati hakuna UoN hapo tena
 
Don't fool your self. Internet is a big jungle, you need to know how to search reliable information.
Ooh my, i have just wasted dozen of hours arguing with academic dwarf🙁🙁
 
kuna binti mmoja wa kikenya kwa jina la "mwasiti" huwa anakasirika sana na kutoa povu jingi kuhusu mlima kilimanjaro kuwepo tanzania.

sasa mwambieni akasirike zaidi.
picha zimebeba ujumbe wenye maumivu makubwa sana kwake. viva tanzania.

5ab0f5525055a66b469523b4910cfd01.jpg
4f3a40f6bf70f6d0ac709537bd3416ca.jpg
94e9dcb5ad9520f7a89628344ae80205.jpg
64cc9c5e7bdf73857cc232470b16ee22.jpg
1ee6841b81ebe1cfc87448916f32a13d.jpg
6f86d64c4ef89299b7990a295c5df882.jpg
3169e6508de4ed826533efd00fa7d4b6.jpg
a3dbbe66956cef463fc0e2027161d7fc.jpg
063f092a8688386215df1184e1f9368a.jpg
71ea13ca71ea01eb8ec0a54adb4a37c8.jpg
2ea6e984d64e3e0a07eef40938df1c84.jpg
1f52998a2bad7bf47704ca68b1576052.jpg
bb2c3b7e16d03679c66fed0c0d7bd792.jpg
8c11c7f32dabfc9d946082e8d313c230.jpg
65f9da87a06af95bdd98d208c8f3d530.jpg
 
Naona penalti imewaokolea sana. Natamani mmalize mkutane na Gor
haina shida...btw leo tulichezesha simba B. siku tukikutana na hao gor mahia tutachezesha full squad ya simba A.

halafu nimegundua kitu kuhusu vitimu vyenyu. wachezaji wenyu hawana maarifa ya kupiga penati.
 
Vijisababu hamukosangi. I think you don't know anything about shirt sponsorship in football. Football clubs get a lot of money from their shirt sponsors to the extent that some clubs can barely survive minus sponsorship. ebu try to find out how much Fly Emirates has been giving Arsenal per year or how much Chelsea have received from Samsung electronics.
siyo vijisababu halafu unazunguka sana toa mifano inayokinzana sportpesa huwezi ukaitolea mfano na big brand kama samsung ......


we jua hiyo sportpesa haina mashiko huku tz na hamna fungu kubwa lakuweza kuzipa pesa tz club labda daraja la pili ndiyo maana tunayapuuza hayo mashindano huku tushamaliza ligi kwa sasa ni muda wa break kwa wachezaji kuwait next season .....hivyo chezeni na team b
 
nyie mkiambiwa ukweli hua muna panic hii tabia iacheni alichokiuliza annael na alichojibu huyo teargass ni vitu viwili tofaut kabisa yani kwa kifupi teargass kama ndio ingekua mtihani angekua kashafeli tayari,

kaulizwa swali dogo sana who measures the quality of university education kaanza kuzunguka njia ndefu isioeleweka alaf na wewe unatetea ujinga😀😀
mara qualitu akaja kumix addition ya neno quantity mara akajipa different zake yaani nginja nginja.....
ndipo nikagundua kama yule chizi wa kikenya karogwa tena
 
Back
Top Bottom