Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

is eldoref a city???😀😀😀😀

We don't wake up one morning and begin naming every village in the country a city..... That is what you primitive dehumans do to your ujamaa villages....
 
Kifusi hicho hio road iko under construction ...rainy season imeharibu
Kwa hivyo mvua inabadilisha udongo inakuwa nyekendu pasipo na rangi nyekundu? Ama mvua ya siku hizi inatia rangi nyekundu?
 
vijiji vya uswazi siku hizi metropolitan..hahaha.na ndoo za samaki kichwani huko posta......
an uncivilized city like dar has no metro just extended villages
wewe ni mshamba wa neno "metropolitan" and you know kwamba ni mshamba.

nimekuwekea tafsiri ya hilo neno ili angalau uelewe maana yake.jifunze kuyachukulia maneno ya kingereza katika maana ya kawaida.

shida yako unahisi "metropolitan" area ni sawa na mji fulani mbinguni.


IMG_20180601_221706.jpg
 
wewe ni mshamba wa neno "metropolitan" and you know kwamba ni mshamba.

nimekuwe tafsiri ya hilo neno ili angalau uelewe maana yake.jifunze kuyachukulia maneno ya kingereza katika maana ya kawaida.

shida yako unahisi "metropolitan" area ni sawa na mji fulani mbinguni.


View attachment 791886
Huoni aibu kutoka Nchi ya kishamba Danganyika aka Tanzagiza? Umeme bado mko 1300MW? Mkifika 1500MW unitag 😀
 
Hahaha....umenikumbusha hiyo story. Mimi ndo nilimuuliza mtu anapitia njia gani akienda tao from juja akaniambia Embu!! I never asked him anything again after that. Hata hii kisumu anasikianga tu vile anasikia kuna mahali inaitwa Nairobi
Nani huyo juu hiyo imenipita
Wadau mko poa?
Vipi Susan long time mkuu?
 
Huoni aibu kutoka Nchi ya kishamba Danganyika aka Tanzagiza? Umeme bado mko 1300MW? Mkifika 1500MW unitag 😀
"mwa_sweet" huoni aibu kutoka middle economy country halafu ikifika mda mnakabiliwa na njaa, chakula mnasaidiwa na LDC.

IMG_20180602_080010.jpg
 
hayo ni maoni ya mtu kama ww unaeza andika kua ichoboy ataoa dada yangu kenya hayo ni maoni lakin ukweli ni kua kama wangekua watanzania mungewarudisha kipindi kirefu sana ila tatizo lenu munakwepa aibu kwa wazungu😀😀😀😀

hakuna nchi isiokua na waombaji kama hao na leo usije kunambia kenya hakuna😛😛😛😛
 
Ichoboy si wewe ni yule mwenye alihepa kwa thread ya kisumu after kuleta picha zote za Arusha na Mwanza?
kisumu ni city??? hehehe ule mji hua unanifurahisha sana hehehe yani city taxi ni baiskeli alaf unapanua mdomo wako kuita city???😀😀😀😀😀😀
hakuna taxi gari mjini zaidi ya baiskeli
DFE35ECD-CD39-4894-86F4-CBF4C8C75119.jpeg
D0297FFC-F80A-4C08-9FB2-08B653A489EF.jpeg
FF71CBA6-A4BE-4A78-B4D7-E0890EB6DCC4.jpeg
D6861C1F-0596-4F7B-B0D2-CE9B41CE9427.jpeg
 
We don't wake up one morning and begin naming every village in the country a city..... That is what you primitive dehumans do to your ujamaa villages....
heheh so kisumu is a city???😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom