hii picha mmekuwa mkiizungusha hapa jf since January 2017.Ndio hii Dar unless you prove otherwise😛😛
![]()

Ala platinum credit iko mpaka dar?
ulijua dunia inazunguka nairobi pekee😀😀Ala platinum credit iko mpaka dar?
alaf ukiwaambia wakuletee ushahidi wanaruka futi 300 na kukimbia😀😀😀😀hii picha mmekuwa mkiizungusha hapa jf since January 2017.
sisi tunawawekea vitu latest ambavyo. vimekuwa published hivi karibuni.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 789468View attachment 789469
Waliojenga wana akili. Wamehakikisha yanaoneka pembe zote za Dar. FYI ukitokea Ilala along Uhuru road unayaona yanakuface,ukitokea Tazara along Nyererer road unnaona yanakuface na ukitokea mbagala along sokoine drive unayaona yanakuface ni ufundi tuThe three blue buildings
reason is coz dar nyumba zake zote hakuna ghorofa. so in short hakuna nyumba inayoweza ziba huto tu-tower tuwili. zimejismamia apo tu ni kama ziko autisticWaliojenga wana akili. Wamehakikisha yanaoneka pembe zote za Dar. FYI ukitokea Ilala along Uhuru road unayaona yanakuface,ukitokea Tazara along Nyererer road unnaona yanakuface na ukitokea mbagala along sokoine drive unayaona yanakuface ni ufundi tu
hii ni rangi gani?alaf ukiwaambia wakuletee ushahidi wanaruka futi 300 na kukimbia😀😀😀😀
udongo mwekundu na dar wapi na wapi???
Nairobi global wollefapale westlandsView attachment 788780
Nigga its kenyan ownedulijua dunia inazunguka nairobi pekee😀😀
hii ni 2018 bro
Thats not the reason. Nimekwambia ukija na barabara, kuna nyumba inakaa katikati ya barabara ku block view? Ukiwa ground level hata maeneo ya Upanga huwezi kuona hayo majengo.reason is coz dar nyumba zake zote hakuna ghorofa. so in short hakuna nyumba inayoweza ziba huto tu-tower tuwili. zimejismamia apo tu ni kama ziko autistic