Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nasema keta estate za kisumu alaf tuone kama utabaki humu salama😀😀😀😀 is kisumu a city wallah sijapata ona town ya kipuuzi kama kisum

maybe kisumu ya Tanzania mwanza nimefika na haifikii kisumu kwa estates ama malls.....oh na airport pia
 
noma sana mkuu
Pale Geza kuna kijiji cha Watumishi Housing ndio kinakamilika. Kuna flats kibao na nyumba ndogo ndogo kibao sijui watauziwa au kupangishwa akina nani
IMG_20180527_104125.jpg
 
maybe kisumu ya Tanzania mwanza nimefika na haifikii kisumu kwa estates ama malls.....oh na airport pia
sianza basi mbona muoga wewe nani ambae hajafika kisumu??? nimepanda mpaka baiskeli taxi kwenda tao hahahhaa vichekesho sana😀😀😀😀
 
nasema keta estate za kisumu alaf tuone kama utabaki humu salama😀😀😀😀 is kisumu a city wallah sijapata ona town ya kipuuzi kama kisum

nowadays I only use word with no photos...........I propose you open a thread we wipe the floor with your shanty town of mwanza with a cowshed for an airport
 
nonsense
nenda kapumzike maana naona leo kichwa chako kimepata moto😀😀😀😀
 
sianza basi mbona muoga wewe nani ambae hajafika kisumu??? nimepanda mpaka baiskeli taxi kwenda tao hahahhaa vichekesho sana😀😀😀😀

you are the one who said uliishi juja and from juja you pass through embu then to Nairobi.....and you want us to take you seriously......hahaha
 
Back
Top Bottom