Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Nairobi imejaa ma Buildings infact When you approach Nairobi from any Direction Utazionea Na Mbali sana at about 1 hour to Nairobi utazionea mbalii.... Ndio kwamaana inajulikana kwa BuildingsNi kwasababu majengo hayo ni marefu kulinganisha na mengine na pia yako pembezoni mwa fukwe, hata kama yangekuwa Nairobi yangeonekana kwenye kila picha.