wapi wamesema nairobi kuna real estate nyingi kuliko dar😀😀😀😀 yani nairobi ishindane na dar kwa magorofa nenda kapimwe mkojo 😛😛😛Wapi wamesema Dar ina ghorofa mingi kuliko Nairobi, kingereza kama kawaida kinakuchenga.
safi kabisa uzimpe maneno .....yeyote huyo mpe link ili ajione mjinga
hatutaki maneno mengi......action tu hawajielewi wakenya
sawa chokoraa endea kujifarijiKwanza hata apartments za Thika town pekee imetosha kufunika za darisalum....for Tanzanians who know Thika....ukihesabu zile ziko along the 50 km Thika road stretch hutawahi Maliza......then uende Rongai area or ngong...uingie kitengela.......then west of Nairobi....ndio uingie Eastlands baba yao.........my frens........

yaani ni zero kabisa hawa majamaait's day three and kenyans are still discussing ichoboy's car and iPad. smh.
![]()
ile gari na IPad ya ichoboy imefanya watoe mapovu siku tatu mfululizo.yaani ni zero kabisa hawa majamaa

Next Time Fikiria Marakumi Kabla TUANZE Story za USA.... Sisi ndio KUSEMA Huko....
Diamond akienda Tour US Tanzania Hawalali![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 791054View attachment 791055View attachment 791056View attachment 791057View attachment 791058View attachment 791060View attachment 791061View attachment 791062View attachment 791063View attachment 791066

yaani nimewacheka sanile gari na IPad ya ichoboy imefanya watoe mapovu siku tatu mfululizo.![]()
![]()
![]()

Uyo comedian anatumia kiswahili mbele ya hao wazungu kujoke ama?asante kwa tbt.
btw mwambie aric omond aendelee na project yake ya kufanya stadium tour kwa counties. tour za ughaibuni haziwezi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 791096View attachment 791097
about three days ago...from tz to the world.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 791102
estate zenyewe Hamna...ama ni kigamboni ndio mnajivuniawapi wamesema nairobi kuna real estate nyingi kuliko dar😀😀😀😀 yani nairobi ishindane na dar kwa magorofa nenda kapimwe mkojo 😛😛😛
Jay456watt huyu ndugu yako alikiri na kukubali ukweli
Real estate ya nai ni mature already....nyinyi ndio mnaanza kujenga..wengine city zao zishajaa already.sawa chokoraa endea kujifariji![]()
![]()
anaitwa kaptain khalid.Uyo comedian anatumia kiswahili mbele ya hao wazungu kujoke ama?

Tanga CITY(1st pic) vs Kisii![]()
![]()
villageView attachment 791098View attachment 791099View attachment 791100![]()
hii ni tanga my friend😀😀😀😀 baadhi ya maeneoTanga CITY(1st pic) vs Kisii![]()
![]()
![]()
villageView attachment 791098View attachment 791099View attachment 791100
hahaha hii ni town gani imechomeka?hii ni tanga my friend😀😀😀😀
View attachment 791125 View attachment 791126 View attachment 791127 View attachment 791128 View attachment 791129 View attachment 791130 View attachment 791133 View attachment 791135 View attachment 791136 View attachment 791137 View attachment 791138 View attachment 791139![]()
![]()
bus stage tanga😀😀😀😀😀😀
![]()
![]()
![]()
hukushangaa kisii hakuna nyumba iliopigwa rangi😀😀😀😀😀😀😀😀hahaha hii ni town gani imechomeka?
nani akee estate wakat kila mmoja anaardhi na kajenga😀😀😀😀😀estate zenyewe Hamna...ama ni kigamboni ndio mnajivunia
Lakini Ujue Wote Ni Wakenya
