mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
11:35 am 27th may 2018 😀😀😀tulitoka huko miaka 20 iliopita na sasa tuko hapa😀😀😀😀😀😀😀😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
11:35 am 27th may 2018 😀😀😀tulitoka huko miaka 20 iliopita na sasa tuko hapa😀😀😀😀😀😀😀😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
is too bad aiseepicha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiamini
mwanaume kujiamni leta ushahidi hapa ni sawa mm nipost hii picha alaf niseme nairobi wewe siutaniomba ushahidi![]()
ebwana mambo firebado wanataka mashindano😀😀😀
washaiona tayar mwenye macho haambiwi kuonaRudia kuipost hii picha hadi waote mabawa
Unasemaje kutoka leo nianze kuita Dar es salaam dara salima😀😀😀. Ama unasemaje kaka?jaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana macho😀😀😀
Usiingie na gari binafsi mjini.😀😀😀😀😀😀 kweli wakenya mumefkia level ya failed state
zilijengwa bila mawazo sahihi yani walichofanya ni kupanua barabara zile zile instead of kubuni barabara mpya ndani ya jiji heheh😀😀😀Usiingie na gari binafsi mjini.
Serikali yenye majibu mepesi ktk maswali magumu,wapi 6lanes,wapi bypass??wapi outering.