Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwambie alete link asiwe muoga au msaidie wewe kuleta link alaf uone kitakachofuata😀😀😀😀
Ninachoongelea ni tofauti sana na unachoongelea. Unataka uletewe link ya picha yenye inaonyesha hadi TPA
 
Si vyema kumkataa mamako. Hapa ni Dar es Salaam hata nyanyako anajua.
16493235947_b1ab0c2646_b.jpg
hapo si penyewe
 
Walkua wanatuonyesha kibera na upperhill. Nmegundua hapo ni karibu sana na the three blue buildings.... Around 200 metres
mwambie alete link mwenzako kashakimbia hehehhe alijua wapi nitamshika na angeweka link hapa nimtumbua jibu bila ganzi😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom