Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasemaje kutoka leo nianze kuita Dar es salaam dara salima😀😀😀. Ama unasemaje kaka?
vovote upendavo lakin ukae ukijua dar ndio kiboko yenu 😀😀😀na mshukuru jamii forum imewafungua sana akili na mawazo
 
zilijengwa bila mawazo sahihi yani walichofanya ni kupanua barabara zile zile instead of kubuni barabara mpya ndani ya jiji heheh😀😀😀

ukiwaambia ukweli tu wanakua wakali sana
Wakiona hatujishughulishi na mabarabara mapana wanadhani hatuna pesa,kumbe akili ziko kichwani.
 
Wakiona hatujishughulishi na mabarabara mapana wanadhani hatuna pesa,kumbe akili ziko kichwani.
na niliwah kuwaambia dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi wakakubali sasa hawajui kua tunabuni njia tofaut tofaut za kupunguza foleni ndani ya jiji
 
unajua mm swali najiuliza how do people survive ndani ya hzi vibanda wall ni mabati 😱😱😱😱
yani najiuliza na jibu sipati aisee

What About This How does all of this Tanzanians Survive in Maganda ya Ndizi
Screenshot_20180526-171113.jpg
Screenshot_20180526-170707.jpg
 
na niliwah kuwaambia dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi wakakubali sasa hawajui kua tunabuni njia tofaut tofaut za kupunguza foleni ndani ya jiji
Ata Mogadishu,khartoum na Kinshasa wako na barabara mingi kuliko Nairobi...tunaongelea modern roads achanga upuzi mshamba
 
Some call it the Green City in the sun, Some The New York of Africa and so on... Nairobi Is and Will always be great Big Up... Nairobi [HASHTAG]#JIJI[/HASHTAG] YA MA HUSTLER.. We Celebrate The East African Capital to the Fullest!!
Screenshot_20180527-164432.jpg
Screenshot_20180527-160726.jpg
Screenshot_20180527-152739.jpg
tapatalk_1526579050960.jpeg
Screenshot_20180527-160519.jpg
Screenshot_20180527-151635.jpg
Screenshot_20180528-160537.jpg
Screenshot_20180528-160601.jpg
Screenshot_20180528-160509.jpg
Screenshot_20180528-160553.jpg
Screenshot_20180528-154434.jpg
Screenshot_20180528-155027.jpg
Screenshot_20180527-160814.jpg
Screenshot_20180528-160252.jpg
Screenshot_20180528-153906.jpg
Screenshot_20180527-152115.jpg
Screenshot_20180527-155434.jpg
Screenshot_20180528-155955.jpg
Screenshot_20180528-155755.jpg
Screenshot_20180528-155259.jpg
tapatalk_1526917031654.jpeg
Screenshot_20180528-154424.jpg
 
Ata Mogadishu,khartoum na Kinshasa wako na barabara mingi kuliko Nairobi...tunaongelea modern roads achanga upuzi mshamba
modern roads unazijua ww?? na unapoongelea modern roads according to u unamaanisha nn ??? au unamaanisha gari za watu binafsi zisiingie CBD jumatano na jumamos????😀😀😀😀
yani hua munaskitisha sana
 
Back
Top Bottom