Wewe wacha utoto na vitisho habari za hoteli tulimaliza na kama unataka re match fungua uzi, nyi na mdomo hamjambo. Ukifungua uzi unitag tuheshimiane leojaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana macho😀😀😀
Fungua uzi wacha vitisho nko readyjaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana macho😀😀😀
hehehe kwanza pambaneni na ufisadi, njaa, , slums unemployment alaf muje kushindana na tanzaniUfusadi unataliza aisee🙁🙁
tunamaliza hapa hapa kwenye watu wengi😀😀Fungua uzi wacha vitisho nko ready
tuheshmiane hapa hapa anzisha hapa hapa alaf uone sasa kwann tukajifiche wakat sehemu ipo hapa hapa kwenye watu wengi ndio tutaheshmiana vzr😀😀😀😀Wewe wacha utoto na vitisho habari za hoteli tulimaliza na kama unataka re match fungua uzi, nyi na mdomo hamjambo. Ukifungua uzi unitag tuheshimiane leo
google dar es salaam slums utaipata jibu😛😛 najua ukweli unauma lakini jip moyo babaa.leta link ya hio picha kua ni dar alaf nikuoneshe jangwani ilipo😀😀😀😀 simple and clear
link umekosa hehehe 😀😀😀😀😀😀😀😀 niumie na udongo mwekundu dargoogle dar es salaam slums utaipata jibu😛😛 najua ukweli unauma lakini jip moyo babaa.
Ndio hii Dar unless you prove otherwise😛😛link umekosa hehehe 😀😀😀😀😀😀😀😀 niumie na udongo mwekundu dar
anaetakiwa kuprove ni wewe uliepost kua hapo ni dar with vivid support hehe 😀😀😀😀😀Ndio hii Dar unless you prove otherwise😛😛
![]()
mimi nimeprove na picha sasa wewe disaprove na picha...hahaha 😀😀😀😀😀anaetakiwa kuprove ni wewe uliepost kua hapo ni dar with vivid support hehe 😀😀😀😀😀
picha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiaminimimi nimeprove na picha sasa wewe disaprove na picha...hahaha 😀😀😀😀😀
shika ushahidi babaapicha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiamini
mwanaume kujiamni leta ushahidi hapa ni sawa mm nipost hii picha alaf niseme nairobi wewe siutaniomba ushahidi![]()