hapo no nigeria hata bila ushahidi😀😀😀picha hujaprove wapi sehemu imeandikwa hapo ni dar mbona link hua munatuma humu ndani leta ushahidi kua hapo ni dar kama wewe ni mwanaume unaejiamini
mwanaume kujiamni leta ushahidi hapa ni sawa mm nipost hii picha alaf niseme nairobi wewe siutaniomba ushahidi![]()
siunaona sasa leta usahidi kua ile picha uliepost ni dar es salaam😀😀😀😀😀hapo no nigeria hata bila ushahidi😀😀😀
Usahidi ni nini sasa? ama umeanza kuweweseka?😛😛😛siunaona sasa leta usahidi kua ile picha uliepost ni dar es salaam😀😀😀😀😀
mwanaume siku zote lazima ujiamini na unachofanya
dar inakuumiza sana kichwa hehehehe utajipa ugonjwa wa moyo bure😀😀😀😀
tulitoka huko miaka 20 iliopita na sasa tuko hapa😀😀😀😀😀😀😀😀hii umesahau vipi?
![]()