Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza hata kuiweka nai katika hii battle tumeipa heshima kubwa sana.

Ilitakiwa iwe dar vs other EA cities.
hahaha kuna mjinga mwinginw anajifanya anaijua dar hata kijichi haijui 😀😀😀😀😀
 
Crowne Hotel Nairobi

crowne_plaza_hotel.jpg
crowne-plaza-nairobi.jpg
 
Walidhani wana akili nyingi sana kwamba wachore tu,halafu iwe.

Just simple like that.bora hata wangeweka kingo za mipaka kwa kutumia concrete blocks,tungejua walikuwa na nia.
na washatangaza kua ime fail pesa za kuchora imepotea ni pesa ya wakenya maskini😀😀😀😀
 
Kijana tembea uone mengi. Hotel ni hiyo ya makuti. Nyumba zenye paa nyekundu hizo ni makazi. Kenya sio bongo brathee.😀
Hahahahaha. Kijana nakuona unakimbia kivuli chako. Unaweza ukathitisha hapo ni makazi ya watu? na ni Nairobi?

upload_2018-5-21_15-35-56.png
 
Walidhani wana akili nyingi sana kwamba wachore tu,halafu iwe.

Just simple like that.bora hata wangeweka kingo za mipaka kwa kutumia concrete blocks,tungejua walikuwa na nia.
hata wangeweka kingo still isingefanikiwa kwasababu hawakua na plan before wametafuta shuka kushakucha asubuhi na walijua watakufa watu kama nzige😀😀😀😀😀😀
 
hata wangeweka kingo still isingefanikiwa kwasababu hawakua na plan before wametafuta shuka kushakucha asubuhi na walijua watakufa watu kama nzige😀😀😀😀😀😀
Siku zote nasema ogopa sana mji unaojengwa nyuma yako.

Mtu unajenga barabara pana zinazoingia kwenye mji mmoja mdogo umejikusanya sehemu moja eti kupunguza foreni,kweli yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom