Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kayole
2_3_bedroom_all_ensuite_executive_apartments_for_sale_along_lenana_rddennis_pritt_rd_furnishedunfurnished_7220128507660410349.jpg
 
wakati wanamuziki wanaoimba ujinga toka kenya wakipishana nairobi-nakuru road, nairobi-mombasa road na nairobi-ruiru road kwenda kwa city counties na mashinani kufanya music shows,hii hapa ratiba ya ziara za diamond platnumz kwenda ku perform ughaibuni (USA).

from tz to the world. [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 785929View attachment 785930

povu ruska. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyu jamaa anawatoa udenda 😀😀😀😀
 
akikuletea ushahidi ni wapi nitag😀😀😀
Mimi najua Dar ukipiga arial view photo lazima utaipata moja ya barabara kubwa
1.Kawawa
2.Ali Mwinyi
3.Morogoro
4.Kilwa
5.Mandela

Sioni moja ya hizo barabara hapo.
 
Back
Top Bottom