mijadala ya JamiiForums.com ni siasa za kikabila kati ya wakenya wa central na wale wa kutoka nyanza.Watoto wa Nairobi karibuni sana JF. Nawaona sasa mmeamua kuikimbia kenya talk mje kenye mega social media.
Hawa hua sifa nyingiiii alafu hawana kitu hahhahahaahhahha
Anyway, let us wait and see how the new guy will do the job. Lakini for now, siko impressed na vile anahandle majukumu zake. Ana ubabe mwingi sana huyo, but hey, who am I to be concerned with your affairs.Usijali Kikwete ana nafasi yake Tanzania kama walivyo Maraisi wetu wote waliopita, kuanzia Muasisi wetu Nyerere na Ujamaa wake pmj na mapungufu lkn umetufanya tuwe jinsi tulivyo, akaja Mzee Mwinyi ambaye aliifungua nchi yetu kwa Mataifa ya nje na wageni wakaanza kuja Tanzania kuanzia miaka ya 90' baada ya hapo akaja Mkapa na yeye akaanza kuleta Wawekezaji na kuanza kuleta big investments nchini mwetu kama mining, Gas n.k. Mkapa akamkabidhi Mzee Kikwete na yeye pia akaendeleza pale alipochukuwa ktk kwa Mzee Mkapa na kutufikisha mpka hapa ambapo uchumi wetu umefikia 7% ktk minus growth kipindi cha Nyerere, na sasa Awamu ya V ya mwenyewe JPM pia imechukuwa itaendeleza vile itakavyoweza na yeye 2020/ 2025 ni lazima ampishe mwingine, ...
Your not Tanzanian. Unachukizwa na issues za nchi yetu. Pilipili ya shamba yakuwashia nini.Anyway, let us wait and see how the new guy will do the job. Lakini for now, siko impressed na vile anahandle majukumu zake. Ana ubabe mwingi sana huyo, but hey, who am I to be concerned with your affairs.
JK was my faverite Head of State in this region, I felt sad that he had to go.
Your not Kenyan why start sending Nairobi's pics...This guy just said Julius nyerere was his favourite kwani lazima ukue m Tz ndio nyerere akue ur favourite.Your not Tanzanian. Unachukizwa na issues za nchi yetu. Pilipili ya shamba yakuwashia nini.
Hutapenda kwakuwa amekuwa sindano kali kwa wakenya.

Anyway, let us wait and see how the new guy will do the job. Lakini for now, siko impressed na vile anahandle majukumu zake. Ana ubabe mwingi sana huyo, but hey, who am I to be concerned with your affairs.
JK was my faverite Head of State in this region, I felt sad that he had to go.
Let this guy know what a metropolitan is.Ruiru-26km from Nai
![]()
![]()
![]()
![]()