ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Akili yako inawaza ya kwanza kumbe hahahhahahahaahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀povuuuuuuu.....flyover ya kwanza?really????how many years after independence....hahaaaaaa
Akili yako inawaza ya kwanza kumbe hahahhahahahaahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀povuuuuuuu.....flyover ya kwanza?really????how many years after independence....hahaaaaaa
Ndio akili yako inavokutuma basi kaa mkao wa kula utaelewa tu kwan sisi hua tunaongea baba hehehehe usitoe povu tu😀😀😀😀no my nigga. you have a long way to catch up with Kenya
Is kisumu a city hahahhahahaha 😀😀😀😀 unajitekenya sindio hhahhaha....kinawasha au sio utaelewa tulakini nyinyi ndugu zangu watanzania munanishangaza sana. kisha munasema wakenya wamewadharau... sio kupenda kwa wakenya kuwadharau, ni venye akili zenu bado zimelala. kuna flyovers katika miji ya Mombasa na Kisumu... nyinyi bado munangoja mpaka mukuwe collonised na wakenya ndio mutaamka
Si ulikua umeenda kulala ama stima zilikua zimepotea ndio zimerudiKisumu heehehhh is it a city hahahhhaah😀😀😀😀😀😛😛😛😀 baiskeli ndio taxi hahahha unakuja kuaibika hapa hahahhaha sijawah ona duniani city baiskeli ikawa taxi 😱😱😱😱😱
View attachment 490790
Haya msikizeni huyuuu anabeep itakayojengwa??? you already have so many "white elephants" in store. am sure not even a single stone has been cast
Umeona city taxi hizo hhahhahahha tafuta Tanzania kama utakuta hio 😀😀😀😀😀😀Si ulikua umeenda kulala ama stima zilikua zimepotea ndio zimerudi
Kisumu imedevelop hata kushinda Tanzania my brother. nyinyi endeleeni kulala. Lets compare Dar is slum vs Eldoret kwa sasa. na musipochunga hata Eldoret pia inawapita. sijataja Nakuru piaIs kisumu a city hahahhahahaha 😀😀😀😀 unajitekenya sindio hhahhaha....kinawasha au sio utaelewa tu
The lower one is nairobi nakuru highway...the upper one is still the high way entrance into naovashaEdward wanjala tuambie hio barabara ya chini inaitwaje na iko wapi hahhahahahahahha😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hakuna ujanja hapa unaiba picha unatuletea hapa nimeshakwmbia nairobi naifahamu bro don't force kila kitu kiwezekane hahahaahahah
View attachment 490710
kwani simnaziita bajaji kule kwenu....ama mnatumia ndegeCity taxi of mombasa hahahah ni tuktuk ona hii aibu hhahhaa alaf anakuja hapa anataka sifa 😀😀😀😀😀😀
View attachment 490812
saa hii munaanza kujenga izo vitu zenu... munadhani Kenya itakuwa imesimama pale pale sio? Google Konza Techno City na uwache pang'ang'aHaya msikizeni huyuuu anabeep 
😀😀😀😀 akiambiwa under construction hua hawataki hahahahahhahaha nenda google majina unayajua watakuleta everything 😀😀
Ochoboy 11 wewe ujinga yako siezi kisaidia......post kenye unataka kudeal na mjinga ni kazi siwezagi...Umeona city taxi hizo hhahhahahha tafuta Tanzania kama utakuta hio 😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀 naona Leo umeamua kuonge ujinga tu kwan hujui slum iliko hehehe hio hapo the biggest slum on planet hahaha.....Kisumu imedevelop hata kushinda Tanzania my brother. nyinyi endeleeni kulala. Lets compare Dar is slum vs Eldoret kwa sasa. na musipochunga hata Eldoret pia inawapita. sijataja Nakuru pia
😀😀😱😀😀😀😀😀😱😀😀😀 povuuuuuuuu baby ukweli unauma aiseeeeOchoboy 11 wewe ujinga yako siezi kisaidia......post kenye unataka kudeal na mjinga ni kazi siwezagi...
Juu wewe hunaga facts ata Anal afadali
Sasa wewe unajua uber ilifika Mombasa one year later ikafika dar....sijui utasaidika aje.City taxi of mombasa hahahah ni tuktuk ona hii aibu hhahhaa alaf anakuja hapa anataka sifa 😀😀😀😀😀😀
View attachment 490812
😀😀😀😀😀 hata ukikataa wewe ujenzi hausimami hahahaha dar es salaam the biggest urban city in east Africa hahhahahasaa hii munaanza kujenga izo vitu zenu... munadhani Kenya itakuwa imesimama pale pale sio? Google Konza Techno City na uwache pang'ang'a
Sijawah ona taxi as car in mombasa labda uende airport , town taxi ni tuktuk hahahahaha unakataa sasa 😀😀😀😀😀😀😀😱😀Sasa wewe unajua uber ilifika Mombasa one year later ikafika dar....sijui utasaidika aje.
Alafu dar sikumejaa ma bajaji
hii ndio flyover....duuu