Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Landmark Mbezi Beach Hotel Dar es Salaam
ta-img-20170314-173326.jpg


photo1jpg.jpg


28770674.jpg
Oneni huyu!!! Eti Mbezi beach ndio landmark ya Dar! Hahahahha....OMG, mbavu zangu zauma. Hivi, wewe unajua maana ya landmark kweli?
 
Oneni huyu!!! Eti Mbezi beach ndio landmark ya Dar! Hahahahha....OMG, mbavu zangu zauma. Hivi, wewe unajua maana ya landmark kweli?
Dawa naona imeanza kukuingia vizuri. Kwikwikwikwi.
 
Ramada resort dar es salaam
46511708.jpg


maxresdefault.jpg


original.jpg


ramada-beach-resort-624x400.png


ramada-resort-dar-es-salaam-tanzania-exterior2.jpg
Hii inafanana na hoteli fulani kule maeneo ya Ruiru mjini on your right ukielekea Thika town. Inaitwa Rainbow hotel kama sijakosea. Hoteli ya kawaida sana. nashangaa huko kweli linatajika
 
Hiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?😀😀😀😀
Watajuaje wakati wanaishi mbagala, tandale, mwananyamala? wakiona nyumba nzuri wanadhani ni hoteli.
 
Watajuaje wakati wanaishi mbagala, tandale, mwananyamala? wakiona nyumba nzuri wanadhani ni hoteli.
Kila mara wananiambia humu twende moja kwa moja Dar na Nairobi hata ongeza Mombasa na Kisumu na Nakuru hadi nadhani Dar kuna hoteli kumbe wapi. Yani kuna five star hotel nyingi sijapost na majamaa washaanza kupost Kula Raha Kibandaski.😀😀😀😀
 
Hizi ndio hoteli naskianga mkichocha eti Dar kuna hoteli?😀😀😀😀 Hamna tofauti na zile brothel za River Road

Fairview hotel Nairobi
fairview-hotel-1319205716.jpg
fairview-hotel009.jpg
fairview1.jpg
Maneno mengi sana. Vihoyel vyenyewe kama motel. Hahahaha!! Nairobi Old Desgins
Mnachekesha kabisa vijana. Ngoja leo niwakomeshe. Kwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom