Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mombasa
Cxeb7H4WQAEDLtK.jpg

Cxeb8LIW8AAgK-r.jpg

Cxeb-FeWgAEjVyQ.jpg
 
Unadhani ni rahisi kama kura githeri,useme this CITY is slum.

Utaeleweka na wakenya tu,maana akili zao zinatumia umeme mwingi kazi kidogo.

The only reason Dar es Slum is not included in that list is because nobody would have believed it.
That a whole city, from one end to the other, from north to south, can resemble a megaslum.
 
hii ndio bus stage capital city of kenya😀😀😀😀😀😀😀 alafu second city haina hata harufu ya bus stage
upload_2018-5-21_15-26-17.jpeg
 
Kwenye hotel kijana usiguse kabisa watu watakucheka. Vivyo hivyo kwenye beaches ungeacha kabisa. Nakushauri endelea ku post barabara yenu hiyo moja pekee. Mengine usiguse utakimbia humu.
 
Bro whites huwa si wababaishaji katika data na hili unalifahamu.

Unataka kusema hakuna mtu alitumia muda kufanya utafiti juu ya makazi ya dar???
JUST BECAUSE NOBODY SAID YOU HAVE A SLUM DOESNT MEAN YOU DONT HAVE ONE
 
Kwenye hotel kijana usiguse kabisa watu watakucheka. Vivyo hivyo kwenye beaches ungeacha kabisa. Nakushauri endelea ku post barabara yenu hiyo moja pekee. Mengine usiguse utakimbia humu.
wapost ile barabara ime ekewa alama ya only BRT😀
 
Kwenye hotel kijana usiguse kabisa watu watakucheka. Vivyo hivyo kwenye beaches ungeacha kabisa. Nakushauri endelea ku post barabara yenu hiyo moja pekee. Mengine usiguse utakimbia humu.
Hiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?😀😀😀😀
 
hotel sheraton hio iko nyali mombasa au mpka nikuaibishe sasa hvi ndio ufurah😀😀😀😀😀
 
Hiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?😀😀😀😀
Boss google siku hizi inaongea kila kitu.

upload_2018-5-21_15-28-33.png
 
Back
Top Bottom