Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku zote nasema ogopa sana mji unaojengwa nyuma yako.

Mtu unajenga barabara pana zinazoingia kwenye mji mmoja mdogo umejikusanya sehemu moja eti kupunguza foreni,kweli yajayo yanafurahisha.
nairobi ni ndogo sana tena alaf imejikusanya sana sehemu moja 😀😀😀😀
 
Tanzania ya

Tanzagiza ya 2018 iko na hizo😀😀😀
Slide-720x350.jpg
 
Umetembea hio mitaa ukaona hamna public places? Umeambiwa magomeni,ilala,temeke hamna public places? No decent houses ushafika hio mitaa au una google picha tu? Kuna tofauti ya kuona picha na kuona kwa macho ukiwa hapo mtaani. Tembeeni muone. Hapo chini nakuwekea typical UK street for working class population, nyumbani zimebanana mwanzo mpaka mwisho wa mtaa. Je kwa kutazama picha hio tu utaita Slum?
Colshaw_Green_Road_Chadderton.jpg
wewe sijui ulikila nini lunch. Kwa akili yako unaona hiyo picha ya UK inafanana na ile picha ya Dar aliyoleta mwenzako? Those are very decent houses in a well-planned estate with very clean and wide road passing yhrough it. These are the things missing in your so-called estates. Mpangilio balaa, vyumba balaa, kila kitu balaa. Kisha mnataka kufananisha huo uchafu na Nairobi. Tukianza kuleta earial pictures za mitaa za Nairobi mtadharau sana hizo mitaa zenu za uswazi
 
Back
Top Bottom