Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Lazima tu ungeeka picha ya the three blue buildings😀😀
kizuri cha jiuza.hawachezi 50meters away from those shiny buildings 😀😀😀
Lazima tu ungeeka picha ya the three blue buildings😀😀
kizuri cha jiuza.hawachezi 50meters away from those shiny buildings 😀😀😀
Unajua fika anachouza Dada yako ila unjifanya hujui.Cha ajabu ni kwamba wengine wanauza njugu karanga zilizooza kwenye streets na tunatuletewa picha mimlioni moja tuone walivyo wabunifu!
Nairobi street photoNataka ulete Street Photo toka Nairobi kama hapa:
Dar es salaam
![]()
![]()
Kwa hivyo leo KICC iko UAE? Coz in one of the pictures I van clearly see KICC, vipi tena unasema katoa picha UAE na SA?Ivi we jamaa hushtuki tu? Hakuna mtu ahangaika na post zako, kila siku wewe wafamba tu ona sasa waleta gari za UAE, SA zingine cjui za wapi, no research no right to speak
Ai ai ai Aston Martin. Huyu amemaliza hii compe.Aston Martin
View attachment 779783
Haha jamaa unalia sana. Wewe ndio ulianza debate ya comedians sasa umeanza kutoa machozi. Siku nyingine usiwahi post vipicha vya magari vya wasanii wenu, kama hutaki kulia tena ichoboynilie nn unatuletea danganya toto hapa mkizidiwa tu munaanza leta danganya toto😀😀😀😀
Wachana nao. Kwa malls we have too many of them. Infact we have excess mall capacity. Don't waste your time with them. They are still at the excitement stage.OH PLEASE,MNANYOOSHA NANI?
GALLERIA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
the hub
![]()
garden city
![]()
![]()
sarit centre
![]()
![]()
village market
![]()
nextgen
![]()
![]()
Ichoboy wacha mchezo. Hio ni kibanda cha mama ntilie ama ni mall?
Hii barabara ipo kwenye matengenezo. Mkandarasi alikuwa amesimamishwa kutokana nakwenda polepole kutekeleza ujenzi
Mbona Jokate Mwegelo anakaa mpole mpole hivi? Lakini amenivutia na hio sura innocent. Lakini najua kitandani anazingua kweli. 😀😀Hahaha kijana mbona unakimbia kimbia
1. Hamissa Mobetto
![]()
Tunda Sebastian
![]()
Jokate Mwegelo
![]()
Wema Sepetu
![]()
Faiza Ally
![]()
Na wengine wengi tu rafiki
Nie wenye moja😀😀 Who doesnt know that Nairobi is a city of one tower ? 😀😱Buildings tatu?😀😀😀😀