Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Meanwhile in bongolalaland deni la taifa lazidi kuongezeka
Ripoti ya tathmini ya kila mwezi ya BoT inaonyesha kwa mwaka ulioishia Machi, Serikali ilikopa zaidi ya Dola 2.489 bilioni za Marekani kutoka vyanzo vya nje huku iki-chukua zaidi ya Sh2.084 trilioni kutoka nda-ni. Kutokana na ongezeko hilo, deni la nje limefika zaidi ya Dola 20.156 bilioni (zaidi ya Sh45.35 trilioni) wakati la ndani likizidi Sh14.158 trilioni.
b:
 
ila hatujawaikia nyie debt to GDP ratio 60%😀😀😀😀😀 mumefkia hatua ya kukopa loan na kulipa loan
 
Back
Top Bottom