Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
utasema gari yake hio😀😀😀😀
mwenzako jana alikuja na mapepe na Comedians. alipoletewa Comedians wa Kenya akaanza kutapatapa kama kuku imekatwa shingo. pitia kurasa za nyuma umwone vile alivyopotezeaMariga ana nyimbo gani au movie gani ?? 😀😀
bwege wewe unaonesha magari mengine picha ya gari tu nani ataamini ni lakwake???UKO SURE ANAKODI😀😀 Watu wako na magari na manyumba in and outside kenya...ako na nyumba switzerland na magari huko
Wanatuletea zile wanazo tumia kufanyia shooting😀😀utasema gari yake hio😀😀😀😀
Yezzir! Ulitaka iwe na numberplate ya Kenya wakati anaishi Spain?utasema gari yake hio😀😀😀😀
mbona umesahau hizi johvic wanyama's bro
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
uhahaha wewe usilete ufala weka ya kenya kwan umeona tumepost magari ya samatta ya belgium humu unaleta ujinga hapa😀😀😀😀Yezzir! Ulitaka iwe na numberplate ya Kenya wakati anaishi Spain?
hatutaki danganya toto usituekee picha tu haina hata utambulisho kua ni ya mtu 😀😀😀😀hahahaha.... walalas washanza kulia.
naona unalia sana!!!!hatutaki danganya toto usituekee picha tu haina hata utambulisho kua ni ya mtu 😀😀😀😀
nilie nn unatuletea danganya toto hapa mkizidiwa tu munaanza leta danganya toto😀😀😀😀naona unalia sana!!!!
pole bruh!