ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,860
poaNaomba radhi
poaNaomba radhi
Wewe kilaza ungefanya vizuri zaidi kama ungeleta angalau barabara moja kutoka Dar inayofanana na hizo barabara tatu hapo juu. Utaonekana mjinga wa mwisho ukidharau za wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau. Inasikitisha kwamba ulichokiona wewe ni foleni lakini hiyo accident iliyosababisha foleni haujaona. Mbona huo upande wa kushoto hauna foleni? Mbaazi ikikosa matunda.....Kwikwikwikwikwi. Foleni la kufa mtu
![]()
![]()
![]()
Naona hiyo sio foleni heheheDar es salaam, kila kona moto unawaka
![]()
![]()
Mbona povu zito hivi rafiki!!?Wewe kilaza ungefanya vizuri zaidi kama ungeleta angalau barabara moja kutoka Dar inayofanana na hizo barabara tatu hapo juu. Utaonekana mjinga wa mwisho ukidharau za wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau. Inasikitisha kwamba ulichokiona wewe ni foleni lakini hiyo accident iliyosababisha foleni haujaona. Mbona huo upande wa kushoto hauna foleni? Mbaazi ikikosa matunda.....