Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LPG plant😀😀😀😀😀

IMG_20180424_124137.jpg
😀😀😀😀
IMG_20180424_124137.jpg
 
Nairobi ipo empty kabisa
What do you mean by being empty? Wewe ukiangushwa hapo Kilimani utatembea siku mzima ukitafuta njia ya kurudi town. Unafikiri hii ni ile Dar yenu iliyo na nyumba za gable everywhere zenye mabati zilizoparara na kuchanika? Huu mji umepangika babaa
 
Muache bwana supadipu lensi aendelee kuumia tu😀😀😀
 
si ulisema kenya hatuna supadip lensi😀😀😀
Acha ujinga wako!!. Hapa tupo na battle Dar vs Nairobi.
Ukiishiwa pumzi usilete maneno ya kipuuzi yasiyo na maana.
Nimekuuliza swali unaruka ruka tu kama chura.
 
Wacha hasira bwana supadip lensi😀😀😀
 
Nimeskia huo wimbo tangu 2014,si unajua nyinyi na nyimbo hamjambo😀😀😀
wacahana na habari ya kujenga gas pipeline hio ilianza 2014 na 2016 ikaisha hapa tunazungumzia LPG plant sio pipeline boya wewe😀😀😀😀😀😀
 
Najua nachosema hii habari LPG ya kwanza iletwa hapa na geza ulole 2014 na akasema wakaazi wa lindi ama sijui mtwara wamelipwa fidia ndio mradi uanze 2015😀😀😀Nimestuka kuskia mnaongelea hi maneno bado nilidhani hiyo LPG plant by sasa imemalizika😀😀😀
 
ndio hapo zilikua project mbili tofaut kabisa kuna project ya kujenga gas pipeline from mtwara to dar hio ilianza 2014 ikaisja 2016 na pili LPG plant amabayo ilikua makampuni kama 4 hvi kuingia ubia na serekali but ikaonekana kama wabia wanataka kulalia serekali tukaifuta sasa imerudi tena

huyu ni magufuli subiri uone maajabu😀😀
 
Naomba radhi huu mradi ulitajwa mara ya kwanza 2016
 
Naomba radhi
 
Naomba radhi huu mradi ulitajwa mara ya kwanza 2016
yap nilitaka kushangaa 2014 ilikua mradi wa bomba la gas from mtwara to dar na imeshaisha sasa mradi wa pili ulikua LPG plant😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom