Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ni shule kweli jaman jengo la mabati😀😀
026DCCAE-99C8-440B-963D-53998EDB696A.jpeg
 
condom walizihitaji, na condom walipata si haba.... sheshe linaendelea tu wakati wewe ukiuguza dryspell lool....
walisema wapi hawana chakula au makaazi???
mbona wakiomba chakula hamupeleki??? au vile condom wazungu wanaleta bure????
 
Ikumbukwe ile bomoa bomoa iliyopitaga kipindi flani kule maeneo ya JET ili kupanua Airport habari ndo hiyo

Nowadays kule kuko plain kabisaaaa

Lengo la hii kitu ni 2030 kila kitu kiwe tayari kwasababu hata hii construction ya terminal 3 ni moja kati ya master plan ya JNIA kuelekea 2030 plan hii ilianza 2013 itaenda hadi 2033 ni kwa miaka 20
View attachment 765264View attachment 765265
what in the hell
 
Upanga imetulia sana ...
Upanga kuna muhimbili national hosp,Auramall , apartment nyingi sana,international and local schools, universities like Mzumbe cumpus ya Dar. ..private hosp kama regency and the like...hotels Za kisasa pamoja na clubs na casino zakibabe...baadhi ya balozi pia zimo na nyumba Za ibada ,kumbi kama diamond jubilee nk View attachment 765821
2016-08-07.jpg
 
Back
Top Bottom