Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi imekaa kama Iraq ! Why jamani ?? 😀😀 Haiko tofauti na Syria😀😀
Wewe unajua sababu kubwa ya battle kufika hizi pages zote ni kwa sababu ya hizo towers nne tpa,mzizima na pspf....sababu sikuona kingine zaidi ya ile brt
 
Ndinda akishapaka kariokoo na uchafu wa posta make-up habari yetu kwisha tunasubuana for a whole year
 
Wewe unajua sababu kubwa ya battle kufika hizi pages zote ni kwa sababu ya hizo towers nne tpa,mzizima na pspf....sababu sikuona kingine zaidi ya ile brt
heheheh vaa miwani usijitie upofu bure😀😀😀
 
heheheh vaa miwani usijitie upofu bure😀😀😀
Leo nakupa kazi ya kutafuta aerial view ya kijitonyama na upanga cbd's sababu sikuona cbd za hizo eneo......na sio u post picha nataka aerial view peke
 
Assume there is no running, Kenya is zero.
And besides only one tribe represents the entire Kenya in marathon, ama namna gani
What about Rugby .Right now we are number 5 in the world with 93 points. We are even ahead of england. We reached finals in Canada and Singapore. In 2016 we were the winners of Singapore 7s. Kwa rugby isipokuwa South Africa, hakuna country ingine hapa Africa inacheza kwa irb series.
 
Those guyz are crazy......huawanajalibu kulinganisha kijitonyama sijui ya majengo manne abayo yamejengwa kanda ya barabara na jirani yake masenzee slum
 
Leo nakupa kazi ya kutafuta aerial view ya kijitonyama na upanga cbd's sababu sikuona cbd za hizo eneo......na sio u post picha nataka aerial view peke
kabla sijakupa hebu nipe kazi ya aerial view???😀😀😀😀
 
Una maswali mengi!! Yote unaweza pata majibu from Prof google acha uvivu. Ila for the mean time wewe jua talent has never been a problem in Tz and it will never be. Last year timu ya wanawake wa Tz ili ifunga kenya in finals za Cecafa, Last FIFA match Tz na Kenya walivyo meet early last year hapo Nairobi game ili isha kwa draw Wanyama akiwemo. This year vijana wetu wa U16 wame wachapa U17 wenu uko Burundi. Halafu una piga kelele as if Kenya is Spain! We have just eliminated Congo and we are to meet Mali in U20, last year our U17 made it to Afcon and was a blink away to go the world cup. Next year tuna host Afcon U17 na hiyo timu iliyo wachapa uko Burundi ndiyo itashiriki all those boys are U16 and they went all the way to lift the trophy. FIFA rankings zina badilika, so many times Kenya imekua nyuma ya Tz. At one time Tz ilisha kua ndani ya top 60 in the world. Lets get back to club football, Yanga Vs Gor and Gor Vs Yanga stay tuned. BTW Azam Tv will broadcast those matches live. Get your decorder now
Wewe unasema nini na In the last six years Kenya tumeshinda cecafa mara mbili. In 2013 and 2017. Naongelea kuhusu Cecafa main cup ya wanaume. Tanzania mlishinda 2010. Fuata link kabla upingane na hizi statistics
CECAFA Cup - Wikipedia.
Sisi tulienda Afcon the year 2004. Nyinyi mlienda Afcon how many years ago? Kumbuka football hapa Kenya sio sucessful kama kukimbia na rugby. Football ni ya tatu kwa ufanisi kakini ni ya kwanza kwa kupendwa kwani wakenya wanapenda football kushinda hizo michezo zingine
 
kabla sijakupa hebu nipe kazi ya aerial view???😀😀😀😀
Nataka kuona cbd's za kijitonyama na upanga kwa aerial view sababu umetusubua hapa sana kwa maneno matupu.....na kama hazipo useme tutakuelewa
 
Those guyz are crazy......huawanajalibu kulinganisha kijitonyama sijui ya majengo manne abayo yamejengwa kanda ya barabara na jirani yake masenzee slum
manzese hio umeiona😀😀😀😀
120525849.jpg
 
Nataka kuona cbd's za kijitonyama na upanga kwa aerial view sababu umetusubua hapa sana kwa maneno matupu.....na kama hazipo useme tutakuelewa
narudia swali langu nataka unitajie kazi za aerial view alaf nikuletee maana naoan kama kichwani umejaza pamba😀😀😀😀😀
 
Nataka kuona cbd's za kijitonyama na upanga kwa aerial view sababu umetusubua hapa sana kwa maneno matupu.....na kama hazipo useme tutakuelewa
umeiona manzese hio fananisha na wapi kibera au wapi??
large
 
manzese hio umeiona😀😀😀😀
120525849.jpg
sina haja na masenzee slum jirani ya kijitonyama nataka aerial view ya upanga na kijitonyama cbd's,nakupa hadi jioni utafute..... sai naenda job na picha kama umepost nataka aerial view peke
 
sina haja na masenzee slum jirani ya kijitonyama nataka aerial view ya upanga na kijitonyama cbd's,nakupa hadi jioni utafute..... sai naenda job na picha kama umepost nataka aerial view peke
hahahah uhahahahah makei yamegongana😀😀😀😀😀😀😀😀 manzese imekutokea matakoni
kwani nani asie na kazi??? au unajifanya kusema kwenda job tuamini kua unafanya kazi???😛😛
sifanyi vile unataka wewe nafanya vile nataka mimi...
 
Back
Top Bottom