Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

limekamilika asante magu😀😀😀😀
KIROMBERO.jpg

wapi sigiri bridge kenya😀😀😀😀😀masikini pesa za wakenya masikini😛😛
alaf naona superhighway mbele ya sigiri bridge🙄🙄🙄
595fbd9b20419.image.jpg
 
hahahah uhahahahah makei yamegongana😀😀😀😀😀😀😀😀 manzese imekutokea matakoni
kwani nani asie na kazi??? au unajifanya kusema kwenda job tuamini kua unafanya kazi???😛😛
sifanyi vile unataka wewe nafanya vile nataka mimi...
Sawa halafu uniambie ni cbd gani inatengenezwa na building nne......na usiwahi linganisha westlands na huo ujinga wenu wa building nne tena....eti ooh kijitonyama sijui upanga,tutapana jioni tena
 
Sawa halafu uniambie ni cbd gani inatengenezwa na building nne......na usiwahi linganisha westlands na huo ujinga wenu wa building nne tena....eti ooh kijitonyama sijui upanga,tutapana jioni tena
so upperhill ni CBD??? uhahaha westland ni CBD????😀😀😀😀😀 ACHA KUCHEKESHA UMATI kenge wewe
 
Sawa halafu uniambie ni cbd gani inatengenezwa na building nne......na usiwahi linganisha westlands na huo ujinga wenu wa building nne tena....eti ooh kijitonyama sijui upanga,tutapana jioni tena
part of kijitonyama baby😀😀😀😀😀
fikeni level hii kwanza bogus wewe
westland unaeza ita CBD?? upperhill yenyewe haijafkia status ya kua CBD
sijui kama wewe unajua maana ya CBD, hvi upperhill unaeza ita CBD???😛😛😛😛 kua kichaa sio mpaka uvue nguo
4D1A3818-BC1C-4DFF-95A3-AA2E1CF1B700.jpeg
6CF6EEE3-97E3-4978-88A0-C29F4D9467E4.jpeg
939F7185-1F29-4A2F-A614-3720BAA98527.jpeg
 
What about Rugby .Right now we are number 5 in the world with 93 points. We are even ahead of england. We reached finals in Canada and Singapore. In 2016 we were the winners of Singapore 7s. Kwa rugby isipokuwa South Africa, hakuna country ingine hapa Africa inacheza kwa irb series.
Michezo ya kulaliana unajisifu kwanza
 
Sasa leta aerial view ya hilo eneo umepost kwa hiyo picha na usidha mimi ni mjinga ju hapo hakuna chochote
unajua kazi ya aerial view???😀😀😀
yani usije kuita westland au upperhill eti CBD yani utachekwa bwege wewe
 
That is the fourth tallest building in Africa, endelea kuidharau tu. Na ndugu yake anaitwa Britam towers , umemwona?
Just one tower mnasema CBD ?? 😀😀😀Mwaswast yuko wapi ? 😀😀 Nasikia kapigwa ban ! 😀😀
 
Back
Top Bottom