Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha a boeing 747 landing in Tz makes news? In 2018? Lol

kq-cargo-408x245.jpg

00001945.jpg

196895.jpg
That's KLM property
 
sijui TFF wanafeli wapi kwani timu za vijana mara nyingi hutuwakilisha vyema....

TFF inabidi ibadilike kiukweli

Swala ni Kocha na TFF chini ya Malinzi walikua na choice mbovu mno. Timu zipo chini ya Mdenmark Kim Poulsen na ndie alikua na Taifa Stars ile iliyo watungua Cameroon, Morocco, Algeria, Gambia.
 
Those ugly swath of uswazi corrugated dwellings in their millions ni middle class ama nini..............the photos and videos have always proved that outside Dar cbd all is doom and gloom with no tangible civilization or development. ....
uzuri ni kwamba huku bongo kuna sehemu unazoita uswazi kama vile tandale,vingunguti,magomeni n.k nyumba zimechanganyika kuna nyumba kali hazitofautiani na zile zinazosemekana wanaishi washua(wenye maisha ya juu)hata hivyo unaweza ukakuta mtz mwenye maisha ya kawaida anaweza akawa na nyumba lakini haiwezi kufikia hadhi ya kuitwa slum kama za hapo kibera!!kule mbagala ambako kunasemekana ni uswazi kuna nyumba kali vibaya mno ni vile mabati yanayotumika kuezekea na kutokuwa na mpangilio bora tu ndo hupata kutu kwa hiyo watu kama nyie mkiona mnakimbilia kusema oooohhh slums..lakini hata hivyo siku hizi nyumba mpya kwenye miji mipya hapa dar hawajengei hayo mabati ya zamani...
jombaa usisikie sehemu inaitwa uswahilini au uswazi hapa dar ukadhani kuna slums!!BIG NO
 
we've always challenged you guys to post middle class zones in dar but up to this date mmeshindwa. .....I can give you a list of twenty middle class estates in Nairobi Kiambu and kajiado comfortably.I have more volumes of New estate photos only that one foolish jamii forum administrator has made it impossible for me to log in into the app and continue terrorizing your slum city of impenetrable dense fog of archaic shacks in what is infamously known as daresalaam. I recommend you to watch La Casa and hear the name Nairobi 1000 times......hahaha
It's good to have a ten's of estates but if you still make Kibera as a giant in Africa then its nothing with your good estates at all

The real Nairobians are at Kibera, Mathare, Korogocho etc and not those who're at Karen and so on

NB;
Dar has no slum as yours
Even U.N knew that

Kama hutaki meza wembe
 
hawawezi kuanza kwasababu mkataba na mchina umewafunga 😀😀😀 kukosea walikosea na wao wanalijua vzr
Jay amekueleza vizuri kwamba reli za mizigo kwa kawaida hutumia diesel. Hii ni kweli kwa nchi nyingi isipokuwa pengine za europe tu na nchi nyingine chache ndio zinatumia umeme. Hata South Africa na U.S.A bado wanatumia diesel kwa mizigo. Uko very under-exposed kwa mambo ya uchumi ya dunia, kama unadhani eti reli zote za mizigo ni za umeme kwa hivyo wachina wametugonga. Don't expose such ignorance here, give us space to breathe please.
 
Tony254, sio kweli hata kidogo anayosema Jay, huyu jamaa ni miongoni mwa watu ambao mara nyingi anazungumza ki ushabiki ili kuitetea Kenya, kiukweli train za mizigo nyingi duniani zinatumia umeme kwa sababu lengo ni kusafirisha mizigo kwa haraka na gharama nafuu zaidi ili kupunguza gharama za usafirishaji na kuongeza ufanisi wa biashara.

Chukua mfano wa hizi trains mbili za Kenya na Tanzania, Kenya train ya mizigo kwa trip moja ina uwezo wa kubeba tani 4,000 tu, na inatembea kwa kasi ya 80km/h, wakati ile ya Tanzania kwa trip moja inauwezo wa kubeba tani 10,000 na inatembea kwa kasi ya 120km/h, hapo tu inaonyesha kwamba train ya Tanzania itakua 2.5 times, more effective than Kenyan.

Tukija kipengele cha Diesele vs Electric, ni wazi kwamba gharama za kusafirisha tani moja ya mizigo Kenya itakua higher for about 4o% kuliko Tanzania, hapo bado hatujafikiria athari ya uchumi wa Kenya kwa ujumla kupoteza pesa nyingi za kigeni kwa kuagiza Diesel, wakati Tanzania itapunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya Diesel.
 
Unajua mimi napenda kuargue nikitumia reports na data. Nitakuletea evidence kwamba South Africa wanatumia diesel kusafirisha mizigo. Kwa upande wa U.S.A pia wao kuna baadhi ya train bado wanatumia diesel ingawa zingine zinatumia electric. Leo jioni nitapost na kukutag. Kwa sasa naenda darasani.
 
Back
Top Bottom