msamehe huo mshamba...ako pale kariakoo anauza samaki sasa atajua south b kivipiHapa ni mombasa road south b lakini mulisaaa yeye hajui nairobi zaidi ya kibera😀😀😀
Woooow....
Albino giraffeView attachment 755679
hawa hawajui difference ya CBD na residential area...ndio maana utapata wamama wanabeba kuni na mitungi ya maji kichwani karibu na PSPF...wanaishi hapo na bado wanafanya kazi hapo...this is a very disorganized citySi kwa ubaya lakini mbona mnaiita hapa cbd maghorofa tano alafu nyuma pamezungukwa na mabada? 😀😀😀
vile unaniona mm mjinga sana 😀😀😀😀Distance ya 400kms tulijenga na miaka mbili na nunusu mbona nyinyi dist ya 150kms dar moro mjenge na miaka mbili? Ingekuwa kenya tungejenga na miezi 12😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀twiga ashikwe aletwe Kenya mara moja...kule yumo hatariniNahurumia huyu Twiga. Atauliwa nyama yake iliwe au itumike kwa ushirikina. Hivo ndivyo wanavyofanywa zeruzeru huko Kwa majirani wetu kusini.
Mathare, Kagangware, GidhuraiHapa ni mombasa road south b lakini mulisaaa yeye hajui nairobi zaidi ya kibera😀😀😀
makuru kayaba,kisumu ndogo,umoja etcMathare, Kagangware, Gidhurai
Utalia sana hatuna jinsi😀😀😀Leta picha tu moja ya hiyo reli other wise ccm ni walewale😀😀😀😀😀😀😀😀😀
So far
Dar-2
Nai -0


Yatakayojiri kwenye uzi huu hayatanipita ng'o! Ngoja nichukue pozishen.Dar - Moro reli ni 150km ?? 😀😀 Kwahiyo Moro to Dodoma ni 550km ?? 😀😀 Kuna mkenya kaiba pipa la changaa huku.Distance ya 400kms tulijenga na miaka mbili na nunusu mbona nyinyi dist ya 150kms dar moro mjenge na miaka mbili? Ingekuwa kenya tungejenga na miezi 12😀😀😀😀😀😀😀😀
Utalia sana hatuna jinsi😀😀😀
Ujenzi wa SGR ulipofikia by March😀😀😀
dar to moro 300kmDar - Moro reli ni 150km ?? 😀😀 Kwahiyo Moro to Dodoma ni 550km ?? 😀😀 Kuna mkenya kaiba pipa la changaa huku.
Bottas na Mwasit kwenye uchangiaji humu ndani wako Zero😀😀vile unaniona mm mjinga sana 😀😀😀😀
422km from nairobi to mombasa mumejenga kwa 3.5yrs na ushahidi naeza kukuletea fala wewe
na ukumbuke tunajenga phase mbili kwa pamoja 722km kenge wewe
View attachment 755751