Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DbiFINCWAAEFTql.jpg:large
I picha hadi raha leteni zingine kama izi kwa wingi😀😀😀😀
 
Hii Kibera mnaimba imba hapa imetoa watu sahizi wako na pesa Kama kina Octopizo na Weh fala unashinda ukijidai OHH kibera this kibera that we mwenyewe huwezi fika hata bei ya mshipi YAKE aty Unaishia Dar? Bullshit.... Masikini WA kibera akifika Tz na 20 Bob ya kenya already ni sonko.... [HASHTAG]#Alikiba[/HASHTAG] na Diamond WOTEH tumewameza na bado..... Mtajua hamjui
 
Hii Kibera mnaimba imba hapa imetoa watu sahizi wako na pesa Kama kina Octopizo na Weh gala unashinda ukijidai OHH kibera this kibera that we mwenyewe huwezi fika hats bei ya mshipi YAKE aty Unaishia Dar? Bullshit.... Masikini WA kibera akifika Tz na 20 Bob ya kenya already ni sonko.... [HASHTAG]#Alikiba[/HASHTAG] na Diamond WOTEH tumewameza na bado..... Mtajua hamjui
hii ni dalili ya hasira au ghadhabu😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom