Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza fikeni hii level ndo tuongee
6475.jpg
6435.jpg
4737.jpg
4213.jpg
4245.jpg
4214.jpg
4234.jpg
 
kuna mpuuzi mmoja alikua anahoji kuhusu Airbus A380 kama inaweza kutua kwenye runway ya JNIA
hehehhe anajifanya engineer kumbe mpiga rangi
sasa ndio hio imetua
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀




 
Si kwa ubaya lakini mbona mnaiita hapa cbd maghorofa tano alafu nyuma pamezungukwa na mabada? 😀😀😀
nioneshe mabanda naona huna upuuzi zaidi ya huo😀😀😀😀au ndio ukomo wa upuuzi wako
 
nchi inafanya mega projects bila mikopo
viva magufuli kaza baba😀😀😀😀
 
Someone had started this thread and it was continuing well until a moderator by the name geza deleted the thread...Nairobi walker had already made a list as per your updates and he will continue with that Job....Mr moderator tuwachie raha yetu mzae .
 
Leta picha tu moja ya hiyo reli other wise ccm ni walewale😀😀😀😀😀😀😀😀😀
u talk as if mulijenga reli kwa miezi sita 😀😀😀
yani munahaha kweli tanzania kujenga reli hehe
wasiwssi waki ikiwa ushaambia first phase 2019 november and second phase 2020 to dodoma
 
u talk as if mulijenga reli kwa miezi sita 😀😀😀
yani munahaha kweli tanzania kujenga reli hehe
wasiwssi waki ikiwa ushaambia first phase 2019 november and second phase 2020 to dodoma
Distance ya 400kms tulijenga na miaka mbili na nunusu mbona nyinyi dist ya 150kms dar moro mjenge na miaka mbili? Ingekuwa kenya tungejenga na miezi 12😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom