Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utalia sana hatuna jinsi😀😀😀

Ujenzi wa SGR ulipofikia by March😀😀😀

Asante kwa kuniletea video ya kuchimba😀😀😀😀😀Huko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbi😀😀😀😀😀😀
 
ndege itaondoka kesho ikiwa na watu zaidi ya 475 asanteni kwa kutuletea pesa walau kwa siku moja bila kutarajia😀😀😀😀
89C0B5EC-16D0-4DA7-88F7-90C8B31CDD5F.jpeg
 
Asante kwa kuniletea video ya kuchimba😀😀😀😀😀Huko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbi😀😀😀😀😀😀
3A2333A6-997B-44CB-A63F-1BE45C7D2EAB.jpeg
E7109216-18DA-4FA8-920E-D04E2BB06D05.jpeg
2B7438BF-B35A-4170-9373-3377E178E230.jpeg
 
Asante kwa kuniletea video ya kuchimba😀😀😀😀😀Huko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbi😀😀😀😀😀😀
Sawa Chokoraa Bottas tumekuelewa😀😀
 
vile unaniona mm mjinga sana 😀😀😀😀
422km from nairobi to mombasa mumejenga kwa 3.5yrs na ushahidi naeza kukuletea fala wewe

na ukumbuke tunajenga phase mbili kwa pamoja 722km kenge wewe
View attachment 755751
Project ilianza 2014 ikiisha hapo ndio tulisecure funding after chama cha jubilee kuingia na ikifikia dec 2017 reli ilikua ishaa anza kazi.....huu mradi nmeufuata skyscrapercity tangu uanze sijui unasema nini
 
wewe ujinga hauwezi kukutoka kamwe😀😀😀
umeumbwa uwe hvo😛😛😛 safari tutakupumulieni kisogoni ipasavyo
 
Hiki kipande kilikuwa pilot jakaya kikwete akiweke jiwe la msingi 2014 ndio dikteta akaingia akatupa mchina nje,. .....sasa mbona hiyo picha haina poles za stima juu reli yenyu sasa ivi ni ya stima, mimi nimekaa skyscrapercity sana hauwezi nidaganya😀😀😀😀
ndio akili yako inavokutuma ??😀😀 ujenzi wa SGR umeanza kwa magufuli kiboko ya wakenya
alaf mchina hajajenga hii SGR mpya wala usitafute maneno ya kanga kisa umekalia kuti kavu
nguzo za umeme ni kazi ya mwisho kabisa hehe
😛😛😛 hamuna raha wakenya usingizi hamupati
 
mwambie akuletea hzo barabara zinazochimbwa yani ukitoka nje ya nairobi unaweza kusema umeenda somalia kumbe uko kenya😀😀😀😀
Nairobi yenyewe barabara ni kichefuchefu😀😀😀 Check out @mulonzijoel’s Tweet:
 
Dar
1. BRT
2. Cable Stayed Bridge

Nairobi
1. Functional SGR
2. UN Agency Headquarters
3. 12 lane highway
4. 3 level interchange

Dar 2 Nairobi 5
 
ndio akili yako inavokutuma ??😀😀 ujenzi wa SGR umeanza kwa magufuli kiboko ya wakenya
alaf mchina hajajenga hii SGR mpya wala usitafute maneno ya kanga kisa umekalia kuti kavu
nguzo za umeme ni kazi ya mwisho kabisa hehe
😛😛😛 hamuna raha wakenya usingizi hamupati
Sawa.
 
Nyayo is Africa's largest, cleanest and best managed housing Estate in Africa. 5000 units and close to airport.
 
Back
Top Bottom