Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

giant
b185fa35-6467-485e-a024-90783793e00e-jpeg.741009
Ichoboy unahumiza watu roho. Kumbuka walikuwa na mgomo wakuto changia hii thread.😀😀😀 Itakuwa walienda Nairaland wakakuta nako wanigeria wamewasha moto😀😀😀
ndani ya jengo.jpg
# Tunaomba Travelator ya JKIA Kenyans please.
 
Kenya Hoyee. Tanzania ni kama maji. Usipo yanywa utayaoga.
 
Nkt! We kwanza acha ni kuchanue kiasi ju nikama hujielewi.... Do you know the origin of swahili?? Jibu hio swali alafu ujiulize kama we ni mswahili Ujinga peleka kigoma bana.... English ni international language Acha ushamba buda.... Kama Kiingereza ni Miujiza kwakwo basi sijui ukiskia French utasemaje....
international language??? ndo maana nakuambia hujitambui jombaa wamekuaminisha kuwa English ni lugha ya kimataifa na wewe umekariri hivyo..
huku bongo hatushobokei hizo takataka kama French,English n.k huwa tunazitumia kama kukiwa na ulazima sana..
ktk afrika nyie wakenya bado mmetawaliwa ila hamjui tu!!nyie mnachonga ngenga tu hapo kibera.↙↙
 
Nairobi a world class city, the only city in EA and CA region with BURGER KING restaurants. Nairobi imejaa international products and services ambavyo huwezi pata Dar.

17498506_1399353083462155_1812994141245086509_n.jpg
Haha sio kweli burger izo hata chalinze zipo
 
Leta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.
Haha acha kutulisha maneno...btw nmependa ulivyoweza kukariri nyumba za Dar yaonekana zimekuingia vilivyo
 
international language??? ndo maana nakuambia hujitambui jombaa wamekuaminisha kuwa English ni lugha ya kimataifa na wewe umekariri hivyo..
huku bongo hatushobokei hizo takataka kama French,English n.k huwa tunazitumia kama kukiwa na ulazima sana..
ktk afrika nyie wakenya bado mmetawaliwa ila hamjui tu!!nyie mnachonga ngenga tu hapo kibera.
nachaajabu hata english yenyewe hawaijui vizuri...
 
Back
Top Bottom