trueNimeuona tanzania pekee..tena miongoni mwa wanaume wazima.
Huo upuuzi nimeusoma nikaishia kucheka tu!Haha notes mob za ujinga
Ofcoz Nairobi ni jiji kuukuu! Lol!Nairobi Jiji kuu, Jiji la swagg.
View attachment 751999
Ujinga ni wewe...nway, tunajua nyinyi na earial views za google earth ni kama mbwa na kondoo. Hakuna siku mtapatanaHaha notes mob za ujinga
The most important city in this region. Economically, politically, socially; yani kila kitu. Someni number tukiendlea kupiga gumzo hapa ndaniOfcoz Nairobi ni jiji kuukuu! Lol!
Acha kupaniki wewe kubali kataa upper hill na kibera ni pua na mdomoThe most important city in this region. Economically, politically, socially; yani kila kitu. Someni number tukiendlea kupiga gumzo hapa ndani
ninachomkubali mh. pombe kwamba hawashobokei wadosi,wanakuja wenyewe...
Haha yote heriUjinga ni wewe...nway, tunajua nyinyi na earial views za google earth ni kama mbwa na kondoo. Hakuna siku mtapatana
Hakuna anaebisha ila ni sahihi kusema pia dar ni muhimu kwenye nyanja zote izoThe most important city in this region. Economically, politically, socially; yani kila kitu. Someni number tukiendlea kupiga gumzo hapa ndani
Mji mubashara