ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hawawezi kuanza kwasababu mkataba na mchina umewafunga 😀😀😀 kukosea walikosea na wao wanalijua vzrHaja ipo kuna mahal mlikosea but you can start over again. ..
hawawezi kuanza kwasababu mkataba na mchina umewafunga 😀😀😀 kukosea walikosea na wao wanalijua vzrHaja ipo kuna mahal mlikosea but you can start over again. ..
sababu kubwa wafanya biashara wengi walikataa kutumia reli hio ni expensive fuel ni gharama na pia inaendeshwa kulipa deni kwa haraka, ndio maana inawaeka katika wakat mgumu kila mfanya biashara ni profit motivatedndio...ila kwa sasa sioni haja ya kuharakisha...the railway is attaining its intended purpose successfully licha ya kwamba ni reli ya diesel....pengine baada ya miaka 10 waje waweke iwe ya stima ila kwa sasa sioni haja ya kutumia hela zaidi...tayari reli imeanza kuonyesha potential kubwa kwenye mambo ya mizigo....ikija kwa mambo ya abiria nadhani hakuna haja ya kujirudia....sasa waganda wakiamka waach kulala waje waunganishe naona mkopo ukijilipa vizuri sana...
hapana uganda ni wajanja hawataki kuingia walipoingia wakenya kwasababu wanajua kua wakenya kwenye reli hio wamebugi ndio maana unaona wanachelewesha maksudi japokua kenya inawabembeleza,😀😀😀Umeongea kiungwana kabisa...
Uganda nao wanaendekeza usingizi siwaoni kwenye speed inavyotakiwa
hehehe kwa maelezo yake nilivoyasoma alitala akuoneshe pinnacle na montave hebu mwamabie akuoneshe tuzione nimecheka sana😀😀😀😀😀😀😀😀Millenium tower ni 30? 3 flrs hazitumiki zipo juu kabisa nasijui huzitumia kufanyia nn
Anyway PPF is toped out already kama issue ni kua complete tuitoe...there is no winner ,draw
Hii thread nimekuwa guest for 3years but nlishindwa kujoin ju nilithani mko na vitu za maana dar..... kumbe NI kujirudia tu.... I can't advice a tourist to visit dar is slum heri Malindi.... Naskia huko mnafunzwa hadi Math na Kiswahili... Nkt!! Bullshit!! MARA OHH upanga OHH ukisu OHH ujembe... Surely hizo ndio nini sasa Dar ndio mkokoteni ya kuelekea wapi.
umejoin 3 yrs ago serious😀😀😀😀Hii thread nimekuwa guest for 3years but nlishindwa kujoin ju nilithani mko na vitu za maana dar..... kumbe NI kujirudia tu.... I can't advice a tourist to visit dar is slum heri Malindi.... Naskia huko mnafunzwa hadi Math na Kiswahili... Nkt!! Bullshit!! MARA OHH upanga OHH ukisu OHH ujembe... Surely hizo ndio nini sasa Dar ndio mkokoteni ya kuelekea wapi.
I see Chinese in their SGR office in Nairobifunctional gari moshi inabeba cargo kwel kwel
![]()
![]()
![]()
![]()
mpaka walipe deni ndio watawaachia hzo gari moshiI see Chinese in their SGR office in Nairobi
Serikali inayokopa hela kulipa madeni kamwe haiwezi lipa hilo deni, China will colonize this failed state in the nearest future, I bet.mpaka walipe deni ndio watawaachia hzo gari moshi
Ppf si 37 ni 35flrs huu upuzi wa kuongezea floors mnatoanga wapi smh.. .Ulitoa 1 na mm moja apo zimecancel each other...nmeongeza PPF tower which is 37flr sasa badala uendelee kujib umeanza kulia lia
old SGR with old trains for 4b usd kutoka msa to nairobi just 422km yani hapo mchina ndipo nimemuona hafai na wanajuta japokua wanaficha aibu😀😀😀😀Serikali inayokopa hela kulipa madeni kamwe haiwezi lipa hilo deni, China will colonize this failed state in the nearest future, I bet.
Hadi watu kukufa ni mashindano🙄Ile utoto inakuabga jamii forum..
floors zimevuka 35 na sahii ziko 37 na bado ujenzi unaendelea 😀😀😀😀Ppf si 37 ni 35flrs huu upuzi wa kuongezea floors mnatoanga wapi smh.. .
sasa kuna ushindani kusema RIP au???Hadi watu kukufa ni mashindano🙄Ile utoto inakuabga jamii forum..
Hizo ni vichochoro tunataka highway za maana sio huu uchafu unaletaUpanga n CBD
Msifanye watu mafala you can easily sees many roads kwa hii picha kila konaView attachment 753806
Leta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.floors zimevuka 35 na sahii ziko 37 na bado ujenzi unaendelea 😀😀😀😀
UchafuUbungo...BRT ndio iyo wakenya lambeni lolo
Morogoro road hii View attachment 753823
Hii ndio dar kwa picha mojaNataka picha kutoka Nbo yenye mfanano huu ikipatikana msisahau ku share
Hii ndio Ohio street in dar CBD View attachment 753829
hio ni mzizima ishavuka 35fl na ujenzi unaendeleaLeta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.