Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio munavodanganya watu hvo😀😀😀
Thika road is a 2-4-4-2 lane highway with additional bike lanes on the sides.

Angalia hii picha, unachoona apo ni leni 2-4 za kuenda upande mmoja tu, Barabara yote ya thika iko desing hiyo, alafu upande wa kurudi unapata leni 4-2..
2e2f3dcc-dbbc-429d-b574-f0603bd98eba.jpg

Barabara nyengine yenye design ho ni Outer ring road Nairobi, Hebu niambie hii nayo iko na leni ngapi?
29415820_129769484442126_30913916171190272_n.jpg
 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabara😀😀😀
 
Kwa wale hawajawai fika Nairobi na wamezoea kuonyeshwa picha za kibera nawatz wa JF...... Nairobi ni Kubwa, mitaa ni mingi, kuna watu wameishi zaidi ya miaka Kumi na bado hawajui mitaa yote

40463369125_77ba22925b_b.jpg

41315529772_8a0b5dc2c0_b.jpg
 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabara😀😀😀
mbona uakua na style za kizuzu hivi, argue kama mtu mzima mwenye akili timamu, eti ealier view, kwani hujui pale ziko? ama ulikua ni kuelewa barabara ndo haukuelewa nilipoleta zile picha za kwanza barabara ikiwa empty 😛😛 ssa nimewaletea picha za barabara ikiwa full ili muelewe kwamba leni 6 za upande moja zinaenda mbele na 6 za upande mwengine zinarudi, hata kama hizo mbili za kando zimetengnishwa kidogo, na unaeza kutumia hizo leni mbili za nje kutoka mwanzo hadi mwisho wa barabara hio ambao iko na urefu wa kilomita 42..

Naona Thika Road inawauma sana 😀😀😀😀
 
Wana weka headquarters😀😀
1. Azam heaquarter
2. Mo headquarter
3. Kleensoft headquarter
5. Jambo headquarter
6. Sayona headquarter
7. Lake Oil headquarter
5.CRDB headquarter
Etc
pombe sio supu
 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabara😀😀😀
Wacha kujifanya mpumbavu wacha nikusaidie kuhesabu
IMG_20180422_213157.jpg
hapo unaona lanes ngapi upande mmoja sasa jumuisha upande wapili *****
 
Eti hadi UN headquarters unaweka. UN headquarters zinawasaidia nini ambacho Tanzania hatupati. LED hata Nyumba ya babu yangu naweza weka, 3D printer....really???? Functional sgr hapo sawa.
functional gari moshi😀😀😀😀
 
Thika road is a 2-4-4-2 lane highway with additional bike lanes on the sides.

Angalia hii picha, unachoona apo ni leni 2-4 za kuenda upande mmoja tu, Barabara yote ya thika iko desing hiyo, alafu upande wa kurudi unapata leni 4-2..
2e2f3dcc-dbbc-429d-b574-f0603bd98eba.jpg

Barabara nyengine yenye design ho ni Outer ring road Nairobi, Hebu niambie hii nayo iko na leni ngapi?
29415820_129769484442126_30913916171190272_n.jpg
hvi wewe unajua maana ya 10 lanes???😀😀
 
mbona uakua na style za kizuzu hivi, argue kama mtu mzima mwenye akili timamu, eti ealier view, kwani hujui pale ziko? ama ulikua ni kuelewa barabara ndo haukuelewa nilipoleta zile picha za kwanza barabara ikiwa empty 😛😛 ssa nimewaletea picha za barabara ikiwa full ili muelewe kwamba leni 6 za upande moja zinaenda mbele na 6 za upande mwengine zinarudi, hata kama hizo mbili za kando zimetengnishwa kidogo, na unaeza kutumia hizo leni mbili za nje kutoka mwanzo hadi mwisho wa barabara hio ambao iko na urefu wa kilomita 42..

Naona Thika Road inawauma sana 😀😀😀😀
thika ni 8 lanes na sio 10 lanes
 
Back
Top Bottom